Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,839
- 38,726
Tunaiman na mwaarabu aiseeDaa tunaobeti jumanne kuna fursa tena.... Fursa ikija itumie ipasavyo
😁😁😁kiganja kinawahusu mikiaDaa tunaobeti jumanne kuna fursa tena.... Fursa ikija itumie ipasavyo
Umemchanganya na Mohammed Fathi ambaye kwa sasa in kocha huko Zambia timu Napsa.
Yanga ckuhz mmegeuka Waarabu??😂😂AL AHLY NAJUA HAMTANIANGUSHA, PIGA HAO UNDERDOG KIPIGO CHA "DOG KOKO"
KILA LA HERI NATIONAL AL AHLY!
KESHO TUNAMALIZA GAME MAPEMA SANA.....
Match itakuwa Sangap Hii
Saa kumi kamiliHii game ni saa ngapi na pia itaonyeshwa na channel ipi?
utaelewa tuYanga ckuhz mmegeuka Waarabu??😂😂
Nishaelewa mamaee waarabu wa bongo mumekalia kimoja cha mkweziutaelewa tu
Usinene ukamala..Sasa ndugu yangu unaamini simba atamfunga mwarabu kweli