Kikosi cha Uingereza kitakachocheza Euro 2021 chatajwa

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Hiki ndio kikosi (pichani) cha wachezaji 26 wa Uingereza 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 watakaoshiriki michuano ya Euro 2020 itakayofanyika mwaka huu 2021,11 juni hadi 11 julai 2021.

Wachezaji saba waliotemwa kati ya 33 waliotajwa awali ni

1. Jesse Lingard
2. James Ward Prowse
3. Ollie Watkins
4. Mason Greenwood
5. Ben Godfrey
6. Aaron Ramsdale
7. Ben White.

IMG_20210601_213426.jpg
 
Ajabu sana man, team ina beki wengi kuliko viungo, hao right full backs wote aliowaita wa nini sasa, amekosa kujiamini
Madai yake eti TAA na Reece James wana uwezo wa kucheza pia kwenye kiungo kwaiyo anawapa option nyingine
 
Back
Top Bottom