Kikosi cha kuzuia rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikosi cha kuzuia rushwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Exaud J. Makyao, Jul 28, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sheria ya Kuzuia Rushwa imeainisha majukumu ya Kikosi cha Kuzuia Rushwa kwamba ni: -[/FONT]

  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif](a) Kuchukua hatua zifaazo zenye lengo la kuzuia rushwa katika sekta za Umma, Mashirika ya Umma na Sekta Binafsi.[/FONT]

  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif](b) Kupeleleza, na kwa maelekezo ya Mkurugenzi wa Mashitaka, kufikisha mahakamani makosa ya rushwa na[/FONT]

  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif](c) Kuishauri serikali, mashirika ya umma na sekta binafsi kuhusu njia za kuzuia rushwa. [/FONT]

  Wana jamii,
  1. Je kikosi hiki kweli kina fanya kazi yake sawa?
  2. Je hayo tu ndo yalipaswa kuwa majukumu yake?
  3. Je kikosi hiki hudhibitiwa na nani?
  4. Kikosi hiki kiko huru nje ya itikadi za siasa?
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kikosi hiki (Anti-Corruption Squad) hakipo tena kisheria! Kafanye homework yako tena uje na maswali ya kuuliza kama yatakuwepo!
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sheria hiyo imefanyiwa marekebisho mwaka 2006 na sasa kikosi hicho kimepewa meno kwa kufikisha kesi mahakamani.
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sheria hiyo imefanyiwa marekebisho mwaka 2006 na sasa kikosi hicho kimepewa meno kwa kufikisha kesi mahakamani.
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MKuu BUCHANAN,
  Unaposema hakipo tena kisheria unamaana gani?
  Toa somo mkuu.
   
 6. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  BARUBARU,
  Asante kwa updates.
  Lakini Mwana JF Buchanan anasema kuwa kikosi hiki hakiko tena kisheria.
  Hii inapingana na maelezo yako?
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jul 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  We now have the new Legislation (The Prevention and Combating of Corruption Act, 2007, No. 11 of 2007 - hereinafter referred to as the 2007 Act) which repealed and replaced the Prevention of Corruption Act, 1971, No. 16 of 1971 (hereinafter referred to as the 1971 Act) and established the Prevention of and Combating of Corruption Bureau. So the 1971 Act which once established the Anti - Corruption Squad was later amended and established the Prevention of Corruption Bureau - PCB. The 1971 Act was then repealed and replaced by the 2007 Act and the PCB was transformed into the Prevention and Combating of Corruption Bureau - PCCB. Now the functions of PCCB are described in section 7 of the 2007 Act as follows:

  Section 7. ​
  Functions of the Bureau shall be to take necessary
  measures for the prevention and combating of corruption in the
  public, parastatal and private sectors and in that regard, the Bureau
  shall-
  (a) examine and advise the practices and procedures of public,
  parastatal and private organisations, in order to facilitate
  the detection of corruption or prevent corruption and
  secure the revision of methods of work or procedure
  which appear to add to the efficiency and transparency of
  9
  the institution concerned;
  (b) enlist and foster public support in combating corrupt
  practices;
  (c) advise public, private and parastatal bodies on ways and
  means of preventing corrupt practices, and on changes in
  methods of work or procedures of such public, private and
  parastatal bodies compatible with the effective
  performance of their duties, which the Bureau considers
  necessary to reduce the incidences of corrupt practices;
  (d) cooperate and collaborate with international institutions,
  agencies or organisations in the fight against corruption;
  (e) investigate and, subject to the directions of the Director of
  Public Prosecutions, prosecute offences under this Act and
  other offences involving corruption; and
  (f) investigate any alleged or suspected -
  (i) offence under this Act;
  (ii) conspiracy to commit an offence under this Act;
  (iii) conduct of a public official which is connected to

  corruption.
  Have a nice discussion!
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Waliking'oa meno baada ya Mwinyi kushindwa kukifuta. Sasa hivi hakina ubavu wa kuanzisha mashtaka lazima kiyapeleke na kupata baraka za Director of Public Prosecution.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jul 30, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  DPP ndiye mkuu wa mashtaka ya Jinai nchini, kwa hiyo kesi zote lazima ziendeshwe na yeye moja kwa moja au kupitia watu aliowapa mamlaka kwa ujumla wao au mmoja moja. Hata hivyo kuna baadhi ya kesi ambazo zinaweza kupelekwa moja kwa moja bila kupitia kwake au kutoa kibali! Sio suala la kuwa na meno au la bali ni utaratibu ili kuepusha abuse of power. Remember ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY!
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, kuna thread nimeanzisha hapa JF jana inaonyesha vyombo vya kupambana na Rushwa vinavyobadilika toka tupate uhuru.Tembelea utaelewa kuwa hiki unachouliza hapa hakipo tena.

  Kwa majibu ya haraka PCCB kwa sasa iko chini ya Ofisi ya Rais, majukumu yake ni kuzuia na kupambana na Rushwa kupitia kutoa elimu kwa umma,kupeleleza na kushtaki makosa ya rushwa.
   
 11. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukishasema kesi zote ni lazima, huwezi tena ukasema hata hivyo kuna baadhi ya kesi...Nikishaona unajifunga funga na matatizo ya lugha, naanza kuhofia kwamba hata unachoniambia unaweza kuwa hukijui, unajiongelea ongelea tu. Kiswahili si kigumu kiasi hicho.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti gani kati ya sheria ilivyo sasa kipengele (e) na kipengele hicho hicho kwenye nchi yenye lengo kweli la kupigana na rushwa?


  Na kama kipengele hicho kingesomeka hivi:   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  There are exceptions whenever there are some general rules!
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Jul 31, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kakipengele (e) kapo hapo kulinda yanayoitwa maslahi ya umma (public interests) kwa hiyo kesi nzito nzito lazima zipate consent ya dpp ambaye yuko answerable kwa Rais tu!
   
 15. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa sasa ni Taa Kukuru.
   
 16. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ila wanafanya kazi kwa umakini nadhani.
   
Loading...