Kikosi cha Kilimanjaro stars chatajwa

testa

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
442
179
Kiosk can time ya soka ya Tanzania bara kimetajwa

IMG_20191129_133523.jpeg
 
Nadhani kocha kaona atoe nafasi na watu wengine waonekane, hata Msuva simuoni hapo
 
Hatafika popote, lile jina likiwa pale wanajua wamkabe nani. Mpira maana yake ni siasa pia.

Nyie ngojeni mtaniambia kama atafika popote.
 
Hii michuano kwa ajili ya wachezaji local zaidi, kwani hata Shirikisho la soka la kimataifa, Fifa, hawaitambui. Hivyo klabu zao zinaweza kukataa kuwaachia wachezaji wao. Huwezi kuwaita Samatta na Msuva kwa ajili ya 'ndondo' ya CECAFA
 
Very Wright
 
hii ni michuano gani haina kalenda wala muda maalumu wa kufanyika sana sana anaharibu ratiba ya ligi na timu kujiandaa kwa aajili ya mashindano ya klabu bingwa
 
Kichwa maji kweli wewe tofauti na Samata mbona Msuva hayupo hapo na huulizi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom