Kiosk can time ya soka ya Tanzania bara kimetajwa
samatta atupishe kidogo anatoa boko sanaa
Mzee umeandika nini hapa?Kiosk can time ya soka ya Tanzania bara kimetajwa
Hii michuano kwa ajili ya wachezaji local zaidi, kwani hata Shirikisho la soka la kimataifa, Fifa, hawaitambui. Hivyo klabu zao zinaweza kukataa kuwaachia wachezaji wao. Huwezi kuwaita Samatta na Msuva kwa ajili ya 'ndondo' ya CECAFA
Daaaah hadi kessy umemtaja?Msuva samata na kessy level ingine hiyo
Daaaah hadi kessy umemtaja?
Kocha amekaa kimikia mikia tu. Kamrudisha Manuo baada ya makelele, woga huo.Mbona Simba wengi sana
Umeanza lini kufuatilia mpira?Nadhani kocha kaona atoe nafasi na watu wengine waonekane, hata Msuva simuoni hapo