Andaa kikosi kazi acha manenomtavaa hizi jezi zenu mpya za Tunisia?
tupo tayari kuua paka shume.Andaa kikosi kazi acha maneno
Makocha uliowaweka hapa ni mtu mmoja mwenye majina mengi.Mshana hiyo kamati ya ufundi imemfaa ili apambane na Mzee Mpili.
Kocha angekuwa Gentamicin msaidizi ni kivuli chake Mightier
Nafahamu hilo. Ndio maana nimesema Kivuli chake GentaMakocha uliowaweka hapa ni mtu mmoja mwenye majina mengi.
Wewe jamaa siku ya mwisho utakwenda jehanamu moja kwa moja! Hakutakuwepo na Wakili yeyote Msomi wa kukutetea mbele ya Izraeli mtoa roho!
Mimi ni peponi moja kwa mojaWewe jamaa siku ya mwisho utakwenda jehanamu moja kwa moja! Hakutakuwepo na Wakili yeyote Msomi wa kukutetea mbele ya Izraeli mtoa roho!
Yaaani umechukua matunguri yako ya uganga! Ukayapiga picha, halafu unakuja kusingizia eti ni ya Wananchi!!
Oya mm niwe ata muandazi basi ...upande wa SimbaMagoli kipa.
Kalpana Nyamizi BRN
Walinzi wa kushoto.
mugah di matheo Van De Beek ChamasonMorisonBwalyason
Walinzi wa kulia.
PTER Luvanga1 Kingtox
Walinzi wa kati.
Viol Kifurukutu Poisonous OKW BOBAN SUNZU
Viungo wa chini.
SAGAI GALGANO Chen Hu denooJ
Mawinga wa kushoto.
@Kyalembe Rostema
Mawinga wa kulia.
Saint Ivuga NAWATAFUNA
Washambuliaji.
FORTALEZA Scars Utopologist Ghazwat
Kocha mkuu
Mightier , msaidizi wake Lee
Kiongozi wa kamati ya ushindi husda na roho mbaya ni Mshana Jr akisaidiwa na Mwizukulu jilala
Shusha maoni yako mfumo upi utaendana na hiki kikosi 4-4-2, 4-5-1 au mfumo upi?.
Shusha maoni yako nani aanze nani abaki kwenye kikosi?
Vipi benchi la ufundi liongezwe nguvu au tulipe muda wa matazamio?
Mchezaji yupi mwengine anafaa kuongeza nguvu kwenye hiki kikosi?
Nawasilisha.