Kikosi cha CHADEMA kutoka Musoma Mjini kilichosheheni magwiji wa siasa wanaofanya kazi bila kubahatisha kimeingia Serengeti kwenda kuongeza nguvu katika uchaguzi mdogo wa udiwani,kikosi hiki kinaongozwa na Fikiri ambaye ni katibu wa mbunge wa Musoma Mjini mh. Vincent Nyerere,Ibrahim a.k.a balaa,rasi na Baraka.