Kikosi cha Afrika cha muda wote

Kunde ekeke, Fadiga, Mputu, Stopila Sunzu, Ladebe, Kadenge na Mpira..
 
Kalusha Bwalya uliwahi kumsikia? Na Ben MaCarthy je?
Huyo Kalusha nilimuona akiwa anamalizia career yake kwenye timu ya Taifa. Ilikuwa mwaka 1996 kama sijakosea, kwenye fainali za mataifa ya Afrika zilizofanyika Afrika kusini. Ben alianza kung'ara fainali zilizofanyika Mali 1998, fainali waliyoshiriki Kenya wakiwa na Oliech na kina Robert Mambo.
 
Kula gwala kwa kumuweka drogba kikosin huyu mtu hatare sana kipindi yupo Chelsea alikuwa anafunga magor kwenye wakati mgumu sana arsenal wanamjua....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom