Kikosi Bora Cha Man Utd kwa Miaka 10 iliyopita

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,090
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019.

Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini

IMG_20191015_184829.jpeg
 
Kuna watu wabishi humu... Wameambiwa kikosi cha miaka kumi lakini nyie mnaleta wachezaji wa miaka 20 nyuma
 
Back
Top Bottom