Kikombe cha Tabora, Mbeya na Magu si vya Kutengeneza?

Nenga

Member
Sep 3, 2007
77
21
Nimekaa na kutafakari hivi vikombe vilivyo zuka si vya kutengenezwa na wale vijana wa Magogoni?
Ghafla zinazuka tu kama mvua za masika, au ni jeuri ya serikali ya CCM kufunika kombe mwana haramu apite. baada ya kukosa usingizi muda mrefu kwa style ya CHADEMA na MA ANDAMANO YAO KWA LENGO LA KUKIJENGA CHAMA?
wADAO nipeni mtazamo wenu.
 
Back
Top Bottom