Kikombe cha babu ni zaidi, kansa yagaragazwa na Daktari bingwa Marekani abaki speechless !

Mkuu wangu mbona hizi habari za babu na tiba yake hazijawahi kuzungumziwa hata siku moja huku majuu?...Nimekuwa nikitazama channel kibao, magazeti na kadhalika lakini sikuti habari nzuri inayozungumzia tiba ya babu na karibu mwaka sasa unayoyoma. Kama kweli maneno yako unaweza kutupa site yenye madai haya maanake kusema mgonjwa alishindikana Marekani ni rahisi ktk upakaji mafuta mgongo (Massage) kutulainisha.
we mwongo babu amerushwa sana France 24,al jazeera ww uko machini siyo majuu
 
Why ban him/her? Simply ignore or believe. You are free to believe or not to believe!

Asante ndugu, ndivyo nisemavyo "take it or leave it" lakini hakibadiliki kitu. Kwa habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa wote Matomaso wanaweza wakawasiliana na uongozi wa jumuiya ya Watanzania California, USA. Wanapatikana hapa;

Uzalendo HomePage
 
Source: Umbeya na uzushi atakuja kusema ni ushuhuda. Niliangalia documentary moja CNN na Dr moja gwiji pale aliiponda ile mbaya tiba za asilia za Tanzania (ikiwamo ya babu) akisema mara nyingi hazifanyi kazi inavyotegemewa.
Kitu tunacho takiwa kujifunza wa Africa ni kwamba watu wa magharibi na Asia mara nyingi huwa wanajifanya kukejeri miti shamba ya ki Africa wanasahau kwamba madawa mengi ya kimagharibu yalitokana na miti shamba, wanachofanya ni kuiba samples na kuzifanyia analysis wakisha gundua ingredients zake wana sythesize za kwao. Kuna mifano mingi kuhusu hilo, leo ntatoa michache - the latest ni kuhusu African mango kutoka Africa magharibi aina ya embe hizo zinapunguza watu unene kwa kasi ya kutisha sasa hivi ni hot cake huko Merikani, for details google African slimming Mango, ya pili inahusu dawa yakufanya mtu hasisikie njaa kwa muda mrefu inatumiwa na Bushmen/hotetoes wa South Africa dawa ilikuja hibiwa na wazungu baadae'NGOS' zikaingilia kati kuwatetea Bushmen walipwe at least loyalities kwa ugunduzi wao, wameanza kulipwa, ya tatu inahusu wizi wa dawa za kienyeji zakutibu kansa uliowahi kutokea huko Ghana na wazungu, wakati huo nilikuwa masomoni kwao nilishangaa kumuona mzungu kwenye TV akalalamika kwamba wameshindwa ku-synthesize dawa hiyo kwenye mahabara zao, alikuwa amekasilika kweli kweli hakasahau kwamba kuna watu kutoka Afrika wanao msikiliza akibwata, kumbuka kuna makampuni ya madawa ambayo hayataki chanjo ya ukimwi ivumbuliwe hili waendelea kupata ruzuku za research na dawa za kurefusha maisha kwa bei kubwa - nadhani mnakumbuka walivyo lalamika wakati India na Brazil walipotaka kutengeneza dawa hizo kwa bei nafuu, hawataki hilo. Mwisho nimalizie kwamba Babu wa watu LOLIONDO atasemwa sana atazuliwamengi,utawasikia wanasema eti njia anayo tumia kutoa dawa inawaludisha enzi za stone age. Wanao msema vibaya Babu wa watu majority ni NGOS lukuki zanazo husu UKIMWI wengi wao wana-rakein money na kuendesha magari ya kifahari na kongamano zisizo kuwa na tija yoyote.
 
Mkuu wangu mbona hizi habari za babu na tiba yake hazijawahi kuzungumziwa hata siku moja huku majuu?...Nimekuwa nikitazama channel kibao, magazeti na kadhalika lakini sikuti habari nzuri inayozungumzia tiba ya babu na karibu mwaka sasa unayoyoma.
Kama kweli maneno yako unaweza kutupa site yenye madai haya maanake kusema mgonjwa alishindikana Marekani ni rahisi ktk upakaji mafuta mgongo (Massage) kutulainisha.


mkuu si wajua radio mbao za bongo. kuna jamaa alitoka bongo alikuja huku kutembea akaniambia ati hadi mzee mandela alikuwepo loliondo nikamuuliza amesoma kwenye gazeti ama amamuona .. akasema amesikia tu...
 
Wabishi endeleeni kubisha, wanaoamini wanapona kila iitwayo siku...Iam the living evidence!...Msianze kunidai picha!
Mnadai jina na picha ya Mmarekani, je mnamjua? mtaconfirm vipi kuwa ndiye?
 
Wabishi endeleeni kubisha, wanaoamini wanapona kila iitwayo siku...Iam the living evidence!...Msianze kunidai picha!
Mnadai jina na picha ya Mmarekani, je mnamjua? mtaconfirm vipi kuwa ndiye?

Msaidizi wa babu Loliondo umesikika ila mimi Kamwe sintoamini mauza uza ya huyo babu!
 

mchungaji sometimes unafurahisha kweli... ndiyo jibu nilililokuwa nafikiria na nilitaka nimpe.. anyways
hehe ndiyo taifa letu hili... mchungaji sasa sijui tufanye nini wabadilike ...

Tunapenda vitu virahisi rahisi mara nyingi akili zetu zipo likizo!
 
What about this report WAKUU?
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA
PREPARED BY
HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)[SUP]1[/SUP] & ZAKARIA H. MBWAMBO (M.Pharm, PhD)[SUP]2[/SUP]
 
sisi humu ndani watu kama wewe umekosea njia .weka source wewe.ndio utakubalika kisayansi
 
Back
Top Bottom