Kikombe cha babu ni zaidi, kansa yagaragazwa na Daktari bingwa Marekani abaki speechless ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikombe cha babu ni zaidi, kansa yagaragazwa na Daktari bingwa Marekani abaki speechless !

Discussion in 'JF Doctor' started by Mag3, Jun 12, 2011.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  It is confirmed !

  Mgonjwa moja kutoka Marekani ambaye hakupewa nafasi yoyote ya kuendelea kuishi na madaktari zaidi ya watatu Marekani, hivi sasa kapona baada ya kupata kikombe cha Babu Loliondo. Huyu mgonjwa ambaye alisafiri kutoka Marekani akiwa kwenye kinachoitwa "wheel-chair" kwa kuzidiwa sana, karudi mzimaa na anatembea bila msaada wowote ule na kumwacha mdomo wazi daktari wake aliyekuwa anamtibu. Baada ya kuchukua vipimo vyote kama kawaida daktari hakuwa na kusema isipokuwa maneno yanayofanana na haya, "whatever it is that you are doing to your body, keep on doing it"

  Mungu aliyemwongoza Babu wa Loliondo lazima avuliwe kofia kwani huyu atakuwa mgonjwa wa kwanza kutoka nje ya nchi kupimwa kabla na baada ya kunywa kikombe na kuthibitika amepona. Pia nasikia mpaka sasa ameweza kutoa ushuhuda kanisani na mbele ya ndugu na marafiki zake waliokuwa wakimhudumia na kumpa msaada kwa wakati wote aliokuwa akiumwa. Hizi ni habari nzito na namwomba kama kuna mwenye taarifa zaidi kuhusu tukio hili ambalo limefungua ukurasa mpya si hapa Tanzania tu bali dunia nzima aendelee kutufahamisha zaidi. Mods nawaomba muiache hii thread hapa kwa muda.

  Kofia avuliwe Mungu
  !
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu mbona hizi habari za babu na tiba yake hazijawahi kuzungumziwa hata siku moja huku majuu?...Nimekuwa nikitazama channel kibao, magazeti na kadhalika lakini sikuti habari nzuri inayozungumzia tiba ya babu na karibu mwaka sasa unayoyoma.
  Kama kweli maneno yako unaweza kutupa site yenye madai haya maanake kusema mgonjwa alishindikana Marekani ni rahisi ktk upakaji mafuta mgongo (Massage) kutulainisha.
   
 3. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe umezitoa wapi hizi taarifa?Weka source mkuu,siyo kutuuliza siye.Vinginevyo ungekamilisha kabisa habari yako kabla hujaileta hapa.
  Watu bado mnaamini ujinga wa loliondo tu,kaaazi kwelikweli!
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Source tupe ingekuwa vizuri utupe jina la huyo Daktari bingwa ili tuwasiliane nae kujua zaidi
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Source: Umbeya na uzushi atakuja kusema ni ushuhuda. Niliangalia documentary moja CNN na Dr moja gwiji pale aliiponda ile mbaya tiba za asilia za Tanzania (ikiwamo ya babu) akisema mara nyingi hazifanyi kazi inavyotegemewa.
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Huyo Mgonjwa hana jina?
  Daktari wake pia hana jina?
  Hata Hosiptali iliyompima haina jina?
  Hizi habari bila uthibitisho zinakera wajameni..
  Unafiki huu unaleta hapa..
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Acha porojo bana, hebu lete ufafanuzi wa maswali ambayo watu waliotangulia wameuliza.......
   
 8. M

  Mhabarishaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,001
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acha fixi!
  Uongo wa Babu umekwisha kudhihirika. Hatuwezi kudanganywa tena. Kansa ya Marekani ndiyo ipone wakati waTZ wengi wenye Kansa wamepiga kikombe na kurudi tupu! Babu siku hizi hana wateja amerudia kazi yake ya Ujenzi wa nyumba (Source: Mwananchi 29.5.11 Picha Front Page). Kwa hiyo hii ni mbinu ya kupeleka wateja wapya kwake. Tumeshituka! Babu ni tapeli, apotelee mbali!
   
 9. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Source? Ni uongo.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  bwana mdadisi
   
 11. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Sijajua ni kwanini haya mambo ya huyu Mzee pia yana kuwa Politics!!
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndio hivyo zinazungumziwa, na jamaa (mmarekani) kapona. Tusiwe tunapinga kila kitu!
   
 13. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wacha Marekani mimi nina colleague wangu alikuwa ameonekana Ana lung cancer baada ya kufanyiwa vipimo pale Milan Italy mwaka 2010 Novemba. Mwezi February 2010 alipata kikombe cha babu na mwezi April akawa kijazi pale St Petersburg nchini Russia na vipimo vimeonyesha hana cancer
   
 14. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu hiyo tiba ya babu inashangaza sana!binafs sijapata kuona mtu aliepona!though naamini watu wanapona!ila kuna mlinzi tuko nae ofsn alipata stroke!mwenyewe nimemgharimia nauli ya kwenda kwa babu ndio naangalia afya yake!akichangamka kama zamani ndio ntaamini!kwa sasa ngumu kumeza kidogo.
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,583
  Trophy Points: 280
  Mimi nina mtu wa karibu aliyekwenda Loliondo, alikuwa natatizo la sukari, anaseme kwamba anajisikia vizuri, acha tuzidi kumwomba Mungu.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hebu acha kamba za migomba wewe! Huyo Mgonjwa jina lake ni nani? Habari kama hii ingekuwa kwenye kila scientific journal....The Lancet, Science na hata Nature. Babu huyo anagawa Placebo na muuwaji mkubwa. Tanzania taifa la wajinga ingebidi awe amekamatwa huyo babu na kufungwa kwa kufanya mazingaobwe yasiyo na tija.

  Babu asimamishwe jamani!
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Jaribuni tena kusoma nilichoandika kama "Great Thinkers" kuwa daktari aliyekuwa anamtibu amempima amebaki anashangaa hajui ugonjwa umepotelea wapi ! Of course and for very obvious reasons daktari hajaambiwa kuwa mgonjwa alisafiri hadi Loliondo kwa babu kupata kikombe !

  Mpaka sasa ndugu, marafiki na waumini ndio wanajua kwa nini mtu ambaye alishinda kitandani kwa miezi kadhaa ghafla sasa anatembea na kufanya shughuli zake kama kawaida. Naambiwa waliangusha hata pati la nguvu kushukuru - ukweli ndio huo, take it or leave it !
   
 18. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Invisible BAN This Guy, Hiyo sio sehemu ya kuandika uongo na Delete kabisa hii post mods
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hizi evidence za 'HAKI YA MUNGU' huwa zinaniacha hoi!!
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Kumbe wewe ni mjinga! Confirmed
   
Loading...