Kiki na bifu zinapunguza mapokeo ya nyimbo mpya za wasanii

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Takribani nyimbo mpya kama ya Darasa, Mwana Fa na nyingine ya Stamina zimetambulishwa siku za hivi karibuni lakini hazijapata mapokezi mazuri kwa mashabiki kutokana na asilimia kubwa ya mashabiki kuwa bize na bifu la Diamond na Ommy Dimpoz.

Hii ni moja ya madhara ya bifu linapotumika in negative way mara nyingi watakaoumia ni wasanii wengine kabisaa.
 
Back
Top Bottom