nafuatlia taarifa za 'kiitelejensia' kutoka Lumumba mkuu.Na katiba ya Chama chao inasemaje....!! Ana uhakika watamchagua tena...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tatizo lako nini?Rais, akiwa na nia, sababu na wito wa kututumikia tena, atagombea tena mwaka 2020 na, kwa mazuri yake, tutamchagua tena. Kama wananchi tukiona hatoshi, tutamkataa kwa njia ya kura. Nasisitiza kuwa Urais ni miaka 5 na si miaka 10. Miaka 10 hutokana na utendaji mzuri wa Rais na nia yake ya kutaka kutuongoza tena.
Kikatiba na kimantiki, Urais ni miaka mitano. Lakini, kama haki iliyotolewa na Katiba, aliyekuwa Rais kwa muhula mmoja uliokwisha aweza kugombea na kuchaguliwa tena. Kuchaguliwa kwake mara ya pili kutakuwa ni mara moja tu. Ndiyo kusema, kama Rais amechaguliwa tena, ataishia miaka kumi (10) madarakani.
Rais, akiwa na nia, sababu na wito wa kututumikia tena, atagombea tena mwaka 2020 na, kwa mazuri yake, tutamchagua tena. Kama wananchi tukiona hatoshi, tutamkataa kwa njia ya kura. Nasisitiza kuwa Urais ni miaka 5 na si miaka 10. Miaka 10 hutokana na utendaji mzuri wa Rais na nia yake ya kutaka kutuongoza tena.
Nkuunga mkono kwa kusisitiza hili jambo maana naona bado ile nia ya dhati ya kuondoka bado haipo. Waliong'ang'ania madarakani walianza hivi hivi tu wala si tofauti. Huwa wanaanza kwa kusema wataheshimu katiba. Lakini mimi natofautiana na kauli ya rais kwamba "muda wangu wa miaka kumi..." Ni nani amemwambia ana miaka kumi? Angesema mimi nawatumikia kwa miaka mitano tu, mkiona nafaa katiba inaniruhusu miaka mingine mitano. Kwa namna alivyoitoa hiyo kauli ni kama vile hatakiwi kupingwa kwa namna yoyote ile na ndo maana inatumika nguvu kubwa sana kusupress possible dissidents. Kw mtu muadilifu kabisa kabisa, hatakiwi kuchukia wanaotaka kupambana naye baada ya miaka mitano.Naziacha ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara) ziseme zenyewe.
Ibara ya 42 (1):
42.-(1) The President elect shall assume office of President as soon as
possible after it is declared that he has been elected President, but in any event he
shall assume office before the expiration of not more than seven days.
Ibara ya 42 (2):
(2) Unless he sooner resigns or dies, the President shall, subject to sub
article (3), hold office of President for a period of five years from the date on
which he was elected.
Ibara 42 (3):
(3) A person elected President shall hold the office of President until -
(a) the day his successor in office takes the oath of office;
(b) the day he dies while in office;
(c) the day he resigns from office; or
(d) he ceases to hold the office of President in accordance with the
provisions of this Constitution.
Ibara ya 40 (1) na (2):
40.-(1) Subject to the other provisions of this Article, any person who
holds office as President shall be eligible for re-election to that office.
(2) No person shall be elected more than twice to hold the office of
President.
Kikatiba na kimantiki, Urais ni miaka mitano. Lakini, kama haki iliyotolewa na Katiba, aliyekuwa Rais kwa muhula mmoja uliokwisha aweza kugombea na kuchaguliwa tena. Kuchaguliwa kwake mara ya pili kutakuwa ni mara moja tu. Ndiyo kusema, kama Rais amechaguliwa tena, ataishia miaka kumi (10) madarakani.
Rais, akiwa na nia, sababu na wito wa kututumikia tena, atagombea tena mwaka 2020 na, kwa mazuri yake, tutamchagua tena. Kama wananchi tukiona hatoshi, tutamkataa kwa njia ya kura. Nasisitiza kuwa Urais ni miaka 5 na si miaka 10. Miaka 10 hutokana na utendaji mzuri wa Rais na nia yake ya kutaka kutuongoza tena.
Mkuu,lugha ya Malkia haipandi? Soma Ibara ya 40Kwani tatizo lako nini?
Mbona hujakionesha kifungu kinachosema Rais atatumikia si zaidi ya vipindi viwili vya miaka kumi?vifungu hivyo vinasomeka sambamba lakini umeamua kukificha ili ufikie malengo yako ya kuwatoa watu kwenye reli
Nahisi una matatizo ya kusoma taharifa mpaka mwisho ukiangalia chini kabisa amezungumzia ibara ya 40(2)Kwani tatizo lako nini?
Mbona hujakionesha kifungu kinachosema Rais atatumikia si zaidi ya vipindi viwili vya miaka kumi?vifungu hivyo vinasomeka sambamba lakini umeamua kukificha ili ufikie malengo yako ya kuwatoa watu kwenye reli
Ame edit hakukua na kitu kama hiko mwanzoNahisi una matatizo ya kusoma taharifa mpaka mwisho ukiangalia chini kabisa amezungumzia ibara ya 40(2)
Jumlisha ya nini wakati kuna kuchagua tena?
Kauli ipi? Ya nani?Mbona mnashindwa kumwelewa kwa kauli ndogo namna hyo?