Kikatiba, Urais wa Tanzania ni miaka mitano (5)

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,188
25,493
Naziacha ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara) ziseme zenyewe.

Ibara ya 42 (1):

42.-(1) The President elect shall assume office of President as soon as

possible after it is declared that he has been elected President, but in any event he

shall assume office before the expiration of not more than seven days.

Ibara ya 42 (2):

(2) Unless he sooner resigns or dies, the President shall, subject to sub

article (3), hold office of President for a period of five years from the date on

which he was elected.

Ibara 42 (3):

(3) A person elected President shall hold the office of President until -

(a) the day his successor in office takes the oath of office;

(b) the day he dies while in office;

(c) the day he resigns from office; or

(d) he ceases to hold the office of President in accordance with the

provisions of this Constitution.

Ibara ya 40 (1) na (2):

40.-(1) Subject to the other provisions of this Article, any person who

holds office as President shall be eligible for re-election to that office.

(2) No person shall be elected more than twice to hold the office of

President.

Kikatiba na kimantiki, Urais ni miaka mitano. Lakini, kama haki iliyotolewa na Katiba, aliyekuwa Rais kwa muhula mmoja uliokwisha aweza kugombea na kuchaguliwa tena. Kuchaguliwa kwake mara ya pili kutakuwa ni mara moja tu. Ndiyo kusema, kama Rais amechaguliwa tena, ataishia miaka kumi (10) madarakani.

Rais, akiwa na nia, sababu na wito wa kututumikia tena, atagombea tena mwaka 2020 na, kwa mazuri yake, tutamchagua tena. Kama wananchi tukiona hatoshi, tutamkataa kwa njia ya kura. Nasisitiza kuwa Urais ni miaka 5 na si miaka 10. Miaka 10 hutokana na utendaji mzuri wa Rais na nia yake ya kutaka kutuongoza tena.
 
Inawezekana wenye RAIS wao hawatakuelewa
 
CHADEMA leo mmetoa mpya gani kwenye KAMKUTANO KENU....Hatuwaelewi sasa hivi nini mnasimamia...?
 
Sawa Mkuu. Tunamfuatilia kwa makini
Petro chukua form kabisa mwaka 2020 tunataka mjukuu wa Chaka Zulu awe rais na mavuvuzela wako tutajitolea mimi na Nyani ngabu. Tutakianzisha chama kama Macron mrengo wetu utakua wa kati Sifa ya kujiunga na chama chetu ni kutokua mfuasi wa chama chochote cha siasa na uelewa angalau kidogo wa katiba na haki za msingi za binadam
 
Sitakuwa na miaka 40 Mkuu.
 
Back
Top Bottom