TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, inatambua mihili mitatu ya serikali. Bunge, serikali na mahakama.
Mawaziri wote wanaunda muhili wa serikali ingawa pia wao ni sehemu ya bunge.
Nape, kutangaza kuwa bunge halitangazwi live ni kuingilia muhimili mwingine wa serikali.
Kimsingi ilitakiwa ama katibu wa bunge au afisa habari wa bunge ndiye angetangaza kutokuoneshwa live kwa bunge hiku akionesha kwa nini bunge alitaoneshwa.
Serikali iache kungilia maamuzi ya mihimili mingine