Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

umeiona eeeeh....dah....namsubiri Ngabu kaniwekesha hapa lisaa sasa....mi naishia zangu naenda kula samaki wa foil triple M Sinza....vipi utakuja?
Hebu chukua teksi uje fasta hap JJ tunakusubiria na roya
 
mi nimekusubiri hivyo mpaka nikakata tamaa.....niko Triple M na ndio naondoka muda si mrefu naenda JJ

Haya wasalimie hao walugaluga.....mi naenda zangu Tabata kwa Ndevu kuchezea mshahara zaidi....ukiboreka nibipu
 
Doh!!!! Saa yangu kumbe inanidanganya inasema saa moja jioni ngoja niirudishe nyuma maana ilikuwa tayari nimkimbie mkoloni
 
natamani kuwafata lkn hata sielewi kila mtu yuko bize.
kama vipi naenda zangu ktk mkesha wa kuliombea taifa.,kama kuna anayetaka kuongozana na mie anitwangia simu iko wazi muda wote.
 
natamani kuwafata lkn hata sielewi kila mtu yuko bize.
kama vipi naenda zangu ktk mkesha wa kuliombea taifa.,kama kuna anayetaka kuongozana na mie anitwangia simu iko wazi muda wote.
Nitakutwangia tujumuike pamoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom