Kikao Maalum Cha Siri Wabunge wa CCM Mchana Huu Bungeni!!

Sasa hii ni MIZIGO ambayo haikujadiliwa na CC, vipi wake wa Kinana na Nnape ? Kazi kwelikweli.....
 
mkuu tunawezaje kukuamini kwa tarifa yako weka picha basi ili tukuamini.
 
- The Dataz ni kimefanyika kikao maalum cha Wabunge wa CCM wakati wa mapumziko ya bunge, Wabunge karibu wote wa CCM wamewaambia Mawaziri wanaotuhumiwa kuwa mizigo wajiuzulu mara moja kumnusuru Waziri Mkuu, sasa hivi wote hawapo bungeni so stay tuned!!!

FMES - Wazee wa Sauti Ya Umeme!!!

Mkuu karibu sana umepotea sana
Mawaziri nao wameenda kukaa kikao cha siri?
 
Kwa jinsi walivyolelewa na watawala wa juu na kiburi walichonacho naona itakuwa ngumu sana kwao kuachia ngazi kwa hiari. Kwa watawala wetu wa sasa hakuna utamaduni wa kuwajibika kwa manufaa ya umma ama kunusuru janga fulani linalotarajiwa kwa muda ama siku za usoni.
 
!
!
japo sihiyaji mabadiliko ya sura bali nahitaji mabadiliko ya mfumo mzima na utendaji....lakini mh, sura ya pinda itoke jamani...loh!
 
Sidhani hao mawaziri wakijiuzuru kuna kitachobadilika.Tutabadili watu hadi tuchoke.Hawa mawaziri wanachinjiwa baharini tu wazee!

My sentiments exactly.

Tunaangalia watu badala ya kuangalia mfumo.

Katika mfumo ambao hauna uwajibikaji, ambao mawaziri ni kama miungu watu, ambao kulindana kivyama kunazidi yote, ambao wabunge hawana uhuru juu ya executive, ambao hakuna watu wenye integrity na vision ya kukubali lawama kwa ajili ya kile wanachoamini, hata tukibadili baraza lote la mawaziri, watakaokuja wataanguka katika mitego ile ile tu.

We have systemic problems, the solution is not to change people, let's change the system.
 
Back
Top Bottom