Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

- According to the dataz, Jumapili hii kutakua na kikao cha dharura cha CCM. Habari hizi tumezithibitisha toka kwa vigogo mbali mbali wa CC walio katika safari za mbali, ambao wamefahamishwa kuanzia jana kuanza kurudi Mjini kwa ajili ya kikao hiki.

- Bado hatujapata what is the agenda, lakini kuna tetesi nzito sana kwamba kutawaka moto huko ndani, hasa kuhusiana na kusajiliwa kwa chama kipya cha CCJ, ambacho kinaaminika kuwa na waasisi wengi vigogo kutoka CCM.

- Kama kawaida tunafuatilia kwa karibu sana, kujua kinachoendelea sasa na mpaka siku hiyo ya kikao, zikipatikana tutahabarishana hapa hapa uwanja wa JF kumkoma nyani!

Respect.

Field Marshall Es = Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!

AGENDA:

1. Kamati ya Mwinyi na maendeleo yake.
2. Uhusiano wa Budget 2010-11 na Uchaguzi 2010
3. Kutogombea Ubunge Kwa magwiji wa CCM
4. Hatima ya Upinzani dhidi ya Kikwete 2010
5. Kumsafisha Lowasa na wenzake ili wasaidie kifedha kwenye uchaguzi
6. Kumrudisha Philip Mang'ula kwenye uenyekiti wa Kampeni, Kusaidia CCM ishinde kutokana na uwezo wake kiupeo.
7. Hatima ya masuala ya Karume na CUF Zanzibar.
8. Suala la CCJ na undani wake
9. Udhibiti wa JF, Raia Mwema, Mwanahalisi, Kulikoni, Chanel 10 n.k wakati wa uchaguzi.

10. Kudhibiti upinzani kutoka Vyama kama CHADEMA kwa kuwaahidi Serikali ya Mseto ili wabweteke.

11. Msaada kutoka Marekani na mataifa mengine makubwa kwenye uchaguzi 2010.

12. Migogoro ya mashirika ya TANESCO, TRL, ATCL, Madai ya waalimu, utulivu jeshini, udhibiti ujambazi wakati wa uchaguzi.

13. HUJUMA

14. Namna ya kuitetea Slogan ya Hari Mpya, Kasi Mpya na Nguvu Mpya na utekelezaji wake ulivyokwenda.

15, AOB
 
Zanzibar nini bana. tunasubiri kakiao chaDHARURA CHA CCM. Vijana tujipange vyema, machozi ambayo tumekuwa tukiyatoa hapa JF huenda ndio yamesikilizwa. Lakini tutahitaji kuona akina nani wapo kwenye CCJ then tutafanya maamuzi
 
Hakika wananchi wana hamu kubwa ya mabadiliko?lakini ni nani wa kuwaongoza watu hawa kupata mabadiliko wanayoyahitaji?

Hii ni challenge kwa kila mmoja wetu, Actions speak louder than words.
 
raha ya milele uwape eeee bwanaaa

na Mwanga wa mafarakano uwaangazie

wafukuzane kwa amani

Amina
 
Jamani hiini shangwe ilioje embu wakatti wakijipanga kufukuzana
naamini wengine wana jf tutaingia madarakani

embu tujaribu kujipangasafunzima mi ntakuwa mwenyekiti wa kampenikwa mwana jf yoyote;malipobure mpaka atakapoingia "chamwino"tutajua cha kulipana;tumechoka jamani na sisi nibinadamu ati kila siku rostam,aziza,wenginetunanini kwa ni atujui kula????????

Embukila ,tu sali leo kuombeamoto wa ajabu uwawakie jumapili

wasivyo na aibu wanachagua siku ya bwana wasivyoo na aibu ,.,.,.,.,.,
 
AGENDA:

1. Kamati ya Mwinyi na maendeleo yake.
2. Uhusiano wa Budget 2010-11 na Uchaguzi 2010
3. Kutogombea Ubunge Kwa magwiji wa CCM
4. Hatima ya Upinzani dhidi ya Kikwete 2010
5. Kumsafisha Lowasa na wenzake ili wasaidie kifedha kwenye uchaguzi
6. Kumrudisha Philip Mang'ula kwenye uenyekiti wa Kampeni, Kusaidia CCM ishinde kutokana na uwezo wake kiupeo.
7. Hatima ya masuala ya Karume na CUF Zanzibar.
8. Suala la CCJ na undani wake
9. Udhibiti wa JF, Raia Mwema, Mwanahalisi, Kulikoni, Chanel 10 n.k wakati wa uchaguzi.

10. Kudhibiti upinzani kutoka Vyama kama CHADEMA kwa kuwaahidi Serikali ya Mseto ili wabweteke.

11. Msaada kutoka Marekani na mataifa mengine makubwa kwenye uchaguzi 2010.

12. Migogoro ya mashirika ya TANESCO, TRL, ATCL, Madai ya waalimu, utulivu jeshini, udhibiti ujambazi wakati wa uchaguzi.

13. HUJUMA

14. Namna ya kuitetea Slogan ya Hari Mpya, Kasi Mpya na Nguvu Mpya na utekelezaji wake ulivyokwenda.

15, AOB

Nakubaliana na wewe.Ni kweli kabisa hizi agenda zaenda kujadiliwa.
 
What goes around, comes around. Ukiishi kwa dhuruma hakika utalipa na ni hapa hapa duniani. Unajua viongozi wetu wa CCM wana upeo mdogo sana. Wanaangalia maslahi ya mda mfupi. Otherwise wangekuwa na upeo wa kuelewa wangeweza kufanya makubwa kwa wananchi wao na at the same time wakatimiza ndoto zao.

Kinachoonekana kwa Zanzibar kwetu sisi "intellectual laymen" ni hiki. Wananchi wa Zanzibar wanatuma MEMO kwamba wamechoka na injustice za watawala wetu. Huu muungano umejaa ghiliba na uongo mtupu. Wote wanaoutetea wanafanya hivyo kwa kutimiza wajibu tuu au kujustify historia! Period. Lakini hakuna anayeamini kwamba una manufaa kwetu sisi wananchi... wazanzibari au wabara.... I strongly believe kama Zanzibar wamekaa wakaelewana kati ya Karume na Seif, basi wote tuwapongeze. Najua kabisa its a bitter pill to swallow kwa waliozoea kupandia migongo ya wengine. Lakini je, hamjui kwamba kwa vyovyote vile iko siku either wabara/wazenji (whatever name you call them) watadai level playing field kwenye huu muungano? Hivi kwa nini tuna kasumba ya kuahirisha matatizo badala ya kuyatatua? Hizi petty [petty griavances sijui zitatupeleka wapi.

Hivi kweli kama siyo unafiki au zile siasa za kufikirika..mzanzibari wa kawaida anafaidika nini na huu muungano? au mtanzania wa kawaida anafaidika na nini? Either way, dawa siyo kujitoa kwenye huu muungano bali ni kutafuta usawa wananchi in whose name this muungano was made..tufaidike. Si ndo kitu tunakidai huko East African community kila siku? Sasa kwa nini wazenji wakidai usawa waonekane wanataka kuwarudisha masultani? I know this argument is unpopular lakini..lazima tufike mahali tuseme, its enough!. Kitu ambacho kinakuwa kigumu kwa sababu viongozi wetu wamezoea kula kwa kutumia migongo ya vipofu. Sasa akitokea mtu akaja na maswali magumu, wao wanasema eti jamaa anataka kurudisha umwinyi. But these are very simple answers to difficult questions. Na hili ndo linaikumba CCM! Huwezi ukawaweka watu million 40 chini forever.

Wale wenye wazazi walioko madarakani tell them. Their time is up. Siyo leo wala kesho, leo ni wazanzibar kesho watakuwa watu wa Kigoma. Injustice is the source of all evil on this planet! Haiwezekani watu muishi kwa migongo ya wengine harafu wakidai haki yao mnawaita majina. So to me I would say: Karume and Seif, I wish you well, if all you are doing is in the interests of your people!

Nimalizie kwa msemo wa mwana JF mmoja hapa: Mjinga akierevuka, Muongo yuko mashakani.
 
Huu sasa ndiyo mtihani mkubwa wa uongozi kwa Muungwana. Hapa tena siyo bla bla kama ambazo amekuwa akifanya kwenye EPA, RiCHMOND, Meremeta etc. Hapa nahitaji kusimama as a leader.......... And I can c time is running out!!!!!!!!!

Otption nayoiona kutoka CC ya CCM ni kuwatosa wote wawili Seif na Karume.
 
Otption nayoiona kutoka CC ya CCM ni kuwatosa wote wawili Seif na Karume.

Mkuu and you think utakuwa umetatua tatizo la Zanzibar? Tuache kutoa majibu marahisi kwa maswali yanayohitaji kufikiria kwa kina.
 
Yanayoendelea Zanzibar yanawatisha zaidi kuliko hili la CCJ.. they can control CCJ.. Zanzibar is the whole new ball game. Don't hold your breath. Wanajua wakicheza vibaya tu wataipa CCJ nguvu isiyostahili so sitoshangaa kuwa nayo inawaumiza kichwa ni kama kupata "double punch" a hook and a jab!

Umenena mkuu Mwanakijiji.
They had it coming, and for a long time too.
Soo la Zenj lilianzia mkulu alipoweweseka kule Butiama, na the ball was rolling free.Sasa boli limepata wapigaji na si CCM.
Hapo kuna mengi sana ya kutokea, JK inabidi atumie all his skills , cunning , wit, cajoling na hata threats kuwarudisha wa zenj back into the fold!!
 
- Mkulu Pasco, ninakusikia ngoja tutafute zaidi huko Visiwani kuna nini hasa maana habari za huko hazijatulia sana,

- Lakini mimi binafsi ninawaulumu Visiwani for one thing, kwamba all the years wameshindwa ku-state what is their case against Muungano? So far sijawahi kuona a serious charge iwe political au legal, sasa ifike mahali waiweke wazi in accademic lines kwamba what is their case, I mean kila wakati huwa ni maneno ya kimtaani taani, ooh wanatuonea, oooh Rais wetu ni cabinet member tu, wafike mahali sasa watulie chini na waandike kitu kinachoeleweka of exactly what is their case?

- Je wana ishu na Muungano, CCM as chama, au Viongozi na uchu wa madaraka? Maaana haiwezi kuwa an ishu na sisi wananchi walalahoi!

Respect.

FMEs!
 
Mkulu,

Hapo ndipo ulipo mzizi wa fitna!

Tatizo kama unavyoijua nchi yetu. Watu ambao inabidi watetee maslahi yetu ndo wanakuwa wa kutuumiza. Yaani mkulu kama ulivyosema. Zenji inahitaji watu wa kusimama kidete na kusema this is what we want. Period.

Lakini kwa upepo wa siasa za Tanzania sasa naanza kuelewa kwa nini Africa tunabaki tulivyo. Hatuna vision. Kama tunazo hizo vision hatuchukui hatua maridhawa kuziweka katika mkakati endelevu. Hivi kweli mkulu jiulize..Zenji ina raia million moja tuu. Kiongozi makini angeshindwa kuifanya Zenji iwe Macau ya Africa? Trust me..everybody (huko ughaibuni) KNOWS Zanzibar! Yaani Zenji haihitaji hata kutangazwa kwa watalii. Ingekuwa sehemu mojawapo inayoingiza pesa nyingi sana za kigeni. Kitu ambacho kingewafaidisha wazenji na taifa kwa ujumla!

Ama kweli aliyetuumba waafrika, sijui tumpe nini, atuwezeshe kuona mwanga. Inasikitisha sana. To me Zanzibar is a non issue kabisa! Lakini kwa sasa nawaelewa wanavyokuwa frustrated. Huduma mbovu, viongozi wabovu nk. Anyhow, mimi nawatakia heri. Maana najua hata sisi bara..hatutavumilia hizi siasa mfilisi za akina MAKAMBA FOR TOO LONG. Soon we will ask him to pack his bags and go where he belongs.
 
Kuna siri ambayo imejificha nyuma ya sakata hli za Zenj. Baada ya matokeo ya daftari la wapiga kura kuhakikiwa ktk visiwa hivyo, takwimu zinaonyesha kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzania atashindwa ktk kura za Urais na hivyo kufanya yale yote aliyokuwa anayalalamikia siku za nyuma ni uongo. Kwa kufanya hivyo, atakuwa anakiua chama chake kisiasa ktk visiwa hivyo.
Njia pekee aliyoiona ya kumnusuru yeye na chama chake ni kumuongezea kiongozi wa sasa muda wa miaka miwili a mitatu ili wao waweze kuzirudisha kura ktk kipindi hicho. Na hapa mgombea atakayesimamishwa sio Hamad Rashid, bali nia Juma Duni.

hivi wewe unajua unaongea nini au unabwabwaja tu?toka lini umewahi kusikia CCM imeshinda Zanzibar.....kama hujui vitu usikurupuke uliza kwanza
 
Kwa maoni yangu, kuna Zanzibar mpya on the making. CCM ZnZ wameamua kukata apron strings za CCM Bara. I doubt kama mahadlines wayahudhuria kikao hiki, wataboycot ila puppets kama kina Khatib will never miss.
.
Zanzibar kumekucha, haya yametimia, mahadlines wamegoma kuhudhuria kikao, yaani hawavuki kuja bara. Uwezekano wa wabara kuvuka kwenda Zenj unaangaliwa usiku huu. Maadam jamaa wameboycot kikao, nadhani hata wakienda Zenj hili ni tayari 'la kuvunda'.

Ujumbe mzito umetumwa leo kuwaomba basi CCM Zanzibar, wakutene wao, waweke united front mabadiliko ya katiba hakuna. Hapa silaha pekee ni Spika wa Baraza asitenge muda hoja hiyo kujadiliwa.
Hivyo kesho hakuna CC. Macho na masikio ZnZ.
 
kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari nasikia iwe isiwe lazima CCJ kiundwe (au vigogo watakaojitoa wajiunge na vyama vya upinzani kama watakosa muda wa kufanya usajili wa kudumu kabla ya October)
"Upinzani wa kweli utatoka CCM"
 
Mkuu and you think utakuwa umetatua tatizo la Zanzibar? Tuache kutoa majibu marahisi kwa maswali yanayohitaji kufikiria kwa kina.

Mkuu that is my prediction from what these guys will do, and I am not whatsoever trying to purport that o be a solution for Zenj.
 
What goes around, comes around. Ukiishi kwa dhuruma hakika utalipa na ni hapa hapa duniani. Unajua viongozi wetu wa CCM wana upeo mdogo sana. Wanaangalia maslahi ya mda mfupi. Otherwise wangekuwa na upeo wa kuelewa wangeweza kufanya makubwa kwa wananchi wao na at the same time wakatimiza ndoto zao.

Kinachoonekana kwa Zanzibar kwetu sisi "intellectual laymen" ni hiki. Wananchi wa Zanzibar wanatuma MEMO kwamba wamechoka na injustice za watawala wetu. Huu muungano umejaa ghiliba na uongo mtupu. Wote wanaoutetea wanafanya hivyo kwa kutimiza wajibu tuu au kujustify historia! Period. Lakini hakuna anayeamini kwamba una manufaa kwetu sisi wananchi... wazanzibari au wabara.... I strongly believe kama Zanzibar wamekaa wakaelewana kati ya Karume na Seif, basi wote tuwapongeze. Najua kabisa its a bitter pill to swallow kwa waliozoea kupandia migongo ya wengine. Lakini je, hamjui kwamba kwa vyovyote vile iko siku either wabara/wazenji (whatever name you call them) watadai level playing field kwenye huu muungano? Hivi kwa nini tuna kasumba ya kuahirisha matatizo badala ya kuyatatua? Hizi petty [petty griavances sijui zitatupeleka wapi.

Hivi kweli kama siyo unafiki au zile siasa za kufikirika..mzanzibari wa kawaida anafaidika nini na huu muungano? au mtanzania wa kawaida anafaidika na nini? Either way, dawa siyo kujitoa kwenye huu muungano bali ni kutafuta usawa wananchi in whose name this muungano was made..tufaidike. Si ndo kitu tunakidai huko East African community kila siku? Sasa kwa nini wazenji wakidai usawa waonekane wanataka kuwarudisha masultani? I know this argument is unpopular lakini..lazima tufike mahali tuseme, its enough!. Kitu ambacho kinakuwa kigumu kwa sababu viongozi wetu wamezoea kula kwa kutumia migongo ya vipofu. Sasa akitokea mtu akaja na maswali magumu, wao wanasema eti jamaa anataka kurudisha umwinyi. But these are very simple answers to difficult questions. Na hili ndo linaikumba CCM! Huwezi ukawaweka watu million 40 chini forever.

Wale wenye wazazi walioko madarakani tell them. Their time is up. Siyo leo wala kesho, leo ni wazanzibar kesho watakuwa watu wa Kigoma. Injustice is the source of all evil on this planet! Haiwezekani watu muishi kwa migongo ya wengine harafu wakidai haki yao mnawaita majina. So to me I would say: Karume and Seif, I wish you well, if all you are doing is in the interests of your people!

Nimalizie kwa msemo wa mwana JF mmoja hapa: Mjinga akierevuka, Muongo yuko mashakani.
mi nashangaa sana kuona watu wapo hapa jf halafu anatoa hoja kama mtu asiyeingia hata darasa moja.imefika wakati tuanze kuona jinsi tusivyojua maana ya opportunities..wakati nchi za ulaya mashariki zilipojiunga na EU hawakupoteza muda kuchunguza faida zake bali wali-grab hiyo opportunity kwa kwenda western countries na kufaidika na resouces za huko!!!Sasa sisi uvivu wetu wa kufikiri unatufanya tusione kilichopo kwenye nchi hizo mbili(bara na zenji) Hivi mahala ambapo pana ardhi yenye rutuba na mito yenye maji ya kutosha dunia ya leo useme pana faida gani kama sio uvivu ni nini?hata mwuungano ukiuawa kesho kama mentallity ni hizihizi patakuwa kero zaidi.Wazanzibar popote walipo hata ukiwakuta ulaya ni malalamiko hayohayo tu lakini hakuna chochote wanachofanya maana.fungueni macho kuna a lot of opportunities ndani ya muungano kama hamzioni hata mkibaki na zanzibar au bara peke yake hamtaona chochote!!!!!!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom