kikao cha mwisho cha kamati ya maandaliz ya harus ya charminglady na mtotosix

mamie kipenzi wns anahusikaje hapa, me nimemkubalia mtotosix ndo mume mtarajiwa. Wns nae alinitaka uchumba bt sikuwa tayari. Plz shika zamu yako ktk kamati ya chakula. . .
nadhani wageni waalikwa waanze na uji wa kungu kama starter, mwenyekiti umelionaje hili?? Nitaleta mapipa ya uji wa kungu, tena kungu la comoro, wakwe, mpaka makuhani wote jicho lege! Chezeiya kungu weye???
 
cacico,
wanakamati wa safari hii ni makauzu full mabandidu.
Bila kuzitembeza mboko kikaoni watavurunda harusi ya shost e'tu.
Sijala kitu chochote mwaya,ni hasira za usiku nimeamka nazo.
mwenyekiti naomba kuwanunulia pia maharusi nguo za hanimuun! Ni vijipichu tu vya gunia.
 
heshima mbele wanajamvi. . . napenda kuwakumbusha wanakamat kuwa kikao cha mwisho kitafanyika trh 26/9 fyatanga bar. mmwnyekiti Madame B, katibu@ruttashobolwa,mapambo beibe nasty na gfsonwin, chakula cacico na sweetlady, picha mnato Asprin, video BAK na mtotowamjini, ulinzi Judgement na platozoom, vinywaji Kaizer na Remmy, nasaha madame AshaDii, usafiri Amsterdam na Bishanga. wajumbe pia mnakumbushwa kuhudhuria bila kukosa.

Huna hata haya..............ondoa jina langu kabisa kwenye hiyo kamati yako.................tena uishie hapo hapo alaaah
 
Mkubwa i'm so sorry!
Nilihitaji kujua before all mediko mlishapita ? Kucheck bacteria? Because now days that agenda it will be either essential, no mater a couple to be being nearest with Church or Mosque !

kabla hatujaanza michakato ya kulala bed moja mimi na charminglady tulimuona Doctor MziziMkavu kwa ushauri nasaha na vipimo vile vikubwa na kwa bahati nzuri najibu poa ndo maana tukaona si ubaya tupige hatua kubwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
heshima mbele wanajamvi. . . napenda kuwakumbusha wanakamat kuwa kikao cha mwisho kitafanyika trh 26/9 fyatanga bar. mmwnyekiti Madame B, katibu@ruttashobolwa,mapambo beibe nasty na gfsonwin, chakula cacico na sweetlady, picha mnato Asprin, video BAK na mtotowamjini, ulinzi Judgement na platozoom, vinywaji Kaizer na Remmy, nasaha madame AshaDii, usafiri Amsterdam na Bishanga. wajumbe pia mnakumbushwa kuhudhuria bila kukosa.
oh charminglady mimi hiyo idara inanifaa sana ila nataka idara 2 kama inawezekana Kaizer mlete kwenye usafiri mimi niweke hapo kwenye vinywaji pliz pliz
 
Last edited by a moderator:
Kitchen party ya nini tena mwanangu,
mimi naona kama bado siku chache sana nipate mjukuu,
hapo hata harusi ingekuwepo kweli kuna haja ya kparty wakati
umeshasoma madarasa yote, lol.

ma mkubwa nini tena, ni majina tu ndo yamefanana. MtotoSix huyu co yule ndugu yetu. hebu tupe baraka zako. by the way mama measkron anakutafta ili mkafatilie ukumbi wa kitchen party!
 
Nina stop order ya mahakama kuzuia ndoa ya charminglady na mtoto6, inasemekana kuwa mtoto6 ameshaoa ana mke na watoto kawatelekeza afrika ya kusini,na charminglady unashtakiwa kwa kuchukua mme wa watu kwa maelezo zaidi mnipm niwapatie namba ya cm mtume mpesa ninunulie salio kuwapigia ili niwaambie namna kesi itakavyoenda
 
ona ndoa ya binti yangu hapa

images

bora umwambie, mbna anataka kutuharia. au kwa vile bintize hawajaolewa. ma mkubwa Mamndenyi kwanza mweka hazina Kongosho ndo ana michango yote. me sina hata senti ya mtu!
 
Nina stop order ya mahakama kuzuia ndoa ya charminglady na mtoto6, inasemekana kuwa mtoto6 ameshaoa ana mke na watoto kawatelekeza afrika ya kusini,na charminglady unashtakiwa kwa kuchukua mme wa watu kwa maelezo zaidi mnipm niwapatie namba ya cm mtume mpesa ninunulie salio kuwapigia ili niwaambie namna kesi itakavyoenda

mpenzi charminglady tayari mamluki washaanza kujitokeza, huyu Chimbuvu nadhani ni kibaraka wa wakati ndio sasa. jamani akiunganisha aliye juu nyie mliobaki hamuwezi kuzuia
 
Last edited by a moderator:
tena harusi ya mtoto6 ilikuwa hivi
images

Nina stop order ya mahakama kuzuia ndoa ya charminglady na mtoto6, inasemekana kuwa mtoto6 ameshaoa ana mke na watoto kawatelekeza afrika ya kusini,na charminglady unashtakiwa kwa kuchukua mme wa watu kwa maelezo zaidi mnipm niwapatie namba ya cm mtume mpesa ninunulie salio kuwapigia ili niwaambie namna kesi itakavyoenda
 
Bishanga kutoa nasaha gani wakati naye anammendea.
Mamndenyi ,mimi namfunda Bishanga chakusema ili ajifungulie njia kirahisi ampate charminglady
  • mwanamke mafiga matatu charminglady
    [* MtotoSix bado mtoto wababu ndio tunajua kulea
  • inabidi figa moja la babu,moja la MtotoSix nz moja la akiba haiozi .
  • mwanamke unatakiwa siku1 kabla ya ndoa uende kwa babu yaani mie Bishanga nikufunze kabla ya honey moon suinajua mie nakupenda sana mjungukuu wanguuuuueeeee
  • kazi kwako Bishanga akishaenda honemuuni akirudi utakula makombo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom