kikao cha mwisho cha kamati ya maandaliz ya harus ya charminglady na mtotosix

:biggrin1: BAK ujue kua video tunaanzia wakati bibi harusi yuko salon akitoka hapo wakati anajitayarisha anapambwa na kuvaa weddin dress yaani hapo ni full mpaka anaingizwa kwenye gari.. Sa hamjatuambia harusi itafanyika kanisani serikalini au wapi?!! :happy:

itafungwa pale moroco, KANISA LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO. . .
 
Yan charm amepatia sana kukuweka wewe mwenyekiti baby wangu maana we ni mzoefu alaf itabidi nikutafutie mlinzi kwa usalama wako!

Kwenye ulinzi wa mwenyekiti niwe mimi, hivi maharusi wakienda honeymoon na mwenyekiti nae si anaenda honeymoon au!?? as a bodyguard i want to be there to guard her body!, usinielewe vibaya ruttashobolwa
 
Nimepotea njia

Tena kweli,hujawahi onekana mitaa hii, umetokea wapi mkuu!? umetokea lile jukwaa la stress nini? kule kwenye maneno kama UFISADI,UCHAGUZI,DHAIFU,KATIBA,JOYCE BANDA,2015,e.t.c
 
Huko kwenye vinywaji naomba Kaizer aongezewe wasaidizi Pombekali na Tusker Baridi
 
Kwenye ulinzi wa mwenyekiti niwe mimi, hivi maharusi wakienda honeymoon na mwenyekiti nae si anaenda honeymoon au!?? as a bodyguard i want to be there to guard her body!, usinielewe vibaya ruttashobolwa

Hee! Hee! Hee!
Baba V?
Una hamu ya kuzikwa hai au?
Kama mwenyekiti nina ulinzi wangu binafsi nikisaidiwa na katibu wangu,ambae ni lawyer wenu na vile vile hubby wangu.
Fungate hatutaki gharama,
tutawapeleka NEW KUOKOKA NI LAZIMA GUEST HOUSE ili tuepuke baadhi ya gharama,
maana itabidi tuwape na fedha za kuanzia maisha.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye ulinzi wa mwenyekiti niwe mimi, hivi maharusi wakienda honeymoon na mwenyekiti nae si anaenda honeymoon au!?? as a bodyguard i want to be there to guard her body!, usinielewe vibaya ruttashobolwa

duh, mabwaku. bodyguard kwenye mwezi wa asali sema unataka kupga chabo Baba V
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom