figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
KIKAO CHA MASHAURIANO BAINA YA SERIKALI NA KAMATI YA BAJETI SIKU MOJA KABLA YA KUSOMWA KWA BAJETI KUU YA SERIKALI.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha mashauriano baina ya Serikali na Kamati ya Bajeti. Kikao hicho ambacho kimefanyika siku moja kabla ya kusomwa kwa Bajeti kuu ya Serikali ni kwa ajili Kufanya Majumuisho Kwa kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara.
Kulia kwa Mhe Spika ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson.