Kikao cha kumpata meya wa mwanza kimevunjika

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
habari nazopata toka mwanza ni kuwa kikao cha kumchagua meya wa mwanza kimevunjika baada ya kutokea purukushani kati ya madiwani wa ccm na chadema...more to come
 
Hata FFU waliokuwa wametanda hapa kwenye barabara zote zinazoingia hapa Halmshauri ya Jiji yaani Balewa, Nera, Mlima wa Machemba, Sekou Toure Hospital wamesambaa hawako tena.

Walijua kutajaa kama ilivyokuwa wakati wa kusibiri matokeo yaliyombwaga Masha.
 
ngoja kijana alete habari tutawa update sasa hivi ...hahaa CCM hawakubali kuwa wao wamepoteza jimbo na umeya wanaupoteza hivi hivi
 
Kulikuwa na njama za kuwarubuni madiwani wa Chadema wamhujumu mgombea wao wa Umeya, hata hivyo njama hizo ziligundulika. Pengine wanapanga mpango mpya kwa vile CCM wamepania kupata umeya kwa njia yeyote ile.
 
Kinachowasumbua CCM ni kwamba wanataka pangapangua kitega uchumi kama MALAIKA BEACH RESORT ilindwe kwa hali na mali kwani inasemekana ndiyo hotel ya mukulu n alipokuja kusaidia jaribio lililofeli la kumshindisha Masha pale Nyamagana alifikia hapa.

Ni kilometa mbili tu kutoka airppotr na wasingeweza kumuona.
 
Ujuha mtupu uliowatawala
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....

Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....
 
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....

Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....

Ukiona hivyo ujue ana maslahi binafsi ndani ya CCM. Si bure!!!! Washabiki wa CCM wako wa aina tatu tu:

1. Viongozi wa chama hicho, hivyo wanafaidika na maslahi ya uongozi.

2. Wafanyabiashara au watu wenye shughuli za kubabaisha, hivyo kutegemea zaidi upendeleo wa viongozi wa serikali -kwa lugha nyingine hawa ni watu wenye maslahi binafsi ya moja kwa moja.

3. Wenye uwezo duni kiuchumi na kielimu/kiufahamu, hivyo huwa ni rahisi kurubuniwa kwa vijisenti.

Nje ya hapo hupati mtu wa kawaida tu kushabikia CCM
 
Back
Top Bottom