ngoja kijana alete habari tutawa update sasa hivi ...hahaa CCM hawakubali kuwa wao wamepoteza jimbo na umeya wanaupoteza hivi hivi
CCM uongozi = ulaji.
wako tayari hata kuuwa ili wapate uongozi/ulaji.
dirtt game shamelesss CCM
Ujuha mtupu uliowatawalaCCM uongozi = ulaji.
wako tayari hata kuuwa ili wapate uongozi/ulaji.
Wewe ndiyo unaonekana juha zaidi...Ujuha mtupu uliowatawala
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....Ujuha mtupu uliowatawala
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....
Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....