Kikao cha kamati kuu tccia cha endelea mkoani tanga, hotel ya tanga beach.

APARATIE

Member
Dec 23, 2013
93
70
Wajumbe wote washirki katka kikao hiki ambao ni wenyeviti wa mikoa yote 25 ya tanzania bar (tanganyika),hoja zikiwa ni taarifa za maendeleo ya kila mkoa, changamoto na matatizo mbalimbali yanayowakabiri wadau wa sekta binafsi, Akifungua kikao hicho Rais wa TCCIA taifa Eng. Peter Chisawilo ameweka wazi umhimu wa viongozi wa mikoa kufanya kazi ya kuwatetea wafanyabiashara,wakulima na wamiliki wa viwanda, kero kubwa iliyojitokeza ni MASHINE ZA EFD, kodi kubwa zisizoeleweka, kwa wafanyabiasha.
 
Jamani tuwaunge mkono tccia wanatutetea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom