Kikao cha JE Saccos

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 1-10-2011 kitakachofanyika MEXICO PUB iliyoko barabara ya Kawawa Kinondoni Manyanya opposite na PETROL STATION YA MWANAMBOKA kuanzia saa 9 mchana na kuendelea tunaombwa wote kufika bila kukosa hasa kwa wanachama wa JE SACCOS waliopo Dar es Salaam.

Dhumuni la kikao ni kufanya tathmini ya tulipofikia na kujadili rasimu ya masharti ya
JE SACCOS tunaomba wanachama wote tujitahidi kufika bila kukosa.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo

0715 887912
0757 212122
0787 212122

Asanteni.
 
niliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....
 
kweli aisee, hebu mfundishe the finest hayo mambo.
 
niliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....
Mkuu naomba unitumie Skype address yako kwenda email hii jesaccos.tz@gmail.com au you can as well PM me then i will add you kwenye Skype Account
 
niliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....

Mkuu umesomeka,ila kwenye Red hapo juu :)
count me in ,nitakuwepo.
 
haya TF pamoja itabidi nijichange nije kwa maendeleo ya baadae

chukua hiyo:
changia/weka mara kwa mara
kopa kwa sababu maalum
lipa kwa wakati

JE SACCOS new member
 
Ndetichia tunakukaribisha wewe, ndugu, jamaa na marafiki
 
Back
Top Bottom