Kikao cha Gesi Mtwara kinafanyika Kilwa Masoko

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
Wakuu nimepokea meseji toka kwa mtu aliyeko Mtwara inasomeka hivi.

Kikao cha ges wanafanya Kilwa Masoko na viongozi wengi wa chama tawala na serekali wapo Kilwa.
 
Agenda ya gas lazima ipo kwa kuwa usalama mkoani Mtwara umeyumba kwa sababu ya gas.
 
Yes ni wajibu wa serikali kuweka ulinza. Wahakikishe wachochezi wote wanafungwa
 
Back
Top Bottom