Kikao cha CUF kilichofanya maamuzi yaliyotolewa jana kilipata kibali cha Polisi?

Aug 23, 2016
61
144
Jana na leo habari kubwa hapa nchini ni juu ya maamuzi yaliyofanywa na CUF kuhusu kuwasimamisha baadhi ya wanachama wake na kuwapa onyo wengine.

Ninachojua ni kuwa haya yote uwezekana ikiwa uongozi utakaa na kutoa haya maamuzi. Kwa upande mwingine jeshi la polisi lilishapiga marufuku ya vikao vya ndani ya vyama vya siasa.

Ni lini sasa walikaa kuamua au waliamua kabla ya ili katazo maana jana tuu kuna viongozi wamekamatwa wa upinzani wakiwa kwenye mkutano wa ndani kinyume na agizo la Jeshi la polisi.
 
Zanzibar ni Nchi!!!!! ndio Jibu Shaihi.......marufuku ni huku Tanganyika

Jana na leo habari kubwa hapa nchini ni juu ya maamuzi yaliyofanywa na CUF kuhusu kuwasimamisha baadhi ya wanachama wake na kuwapa onyo wengine. Ninachojua ni kuwa haya yote uwezekana ikiwa uongozi utakaa na kutoa haya maamuzi. Kwa upande mwingine jeshi la polisi lilishapiga marufuku ya vikao vya ndani ya vyama vya siasa. Ni lini sasa walikaa kuamua au waliamua kabla ya ili katazo maana jana tuu kuna viongozi wamekamatwa wa upinzani wakiwa kwenye mkutano wa ndani kinyume na agizo la Jeshi la polisi.
 
Kwanza sefu alishapewa barua na msajili akajieleze sasa yy kakimbilia baraza kuu wakati hakutakiwa kufanya kikao chochote bila ya kujieleza .
Na katiba inasema kamati tendaji ndio huandaa kikao cha baraza kuu .
Wap kikifanyika kikao cha kamati tendaji hahaa .
Magazeti na vyombo vya habarikwa ujumla havitaki kusema ukweli wa kinachoedelea .
 
Kibari--- ndio kitu gan???
 
Mmakua Mmakonde
Wananchi wa ZNZ wasinge kubali upuuzi huu wa Bara
Sisi ni waoga sana aisee
Mkapa alijaribu kuzuia hao watu wasiandamane January 2001
Yaliyotokea hata mwenyewe anakubali kama hakutarajia
Toka siku hiyo hamna Rais wa TZ anazuia shughuli ya CUF
Hata wakiamua kukutana kesho Kibandamaiti hamna wa kuwazuia
Angekuwa wa Bara Maalim Seif kwa kauli zake dhidi ya Dr Shein kama hamtambui angekuwa mahabusu!
Wenzetu wapo mbali sana kwenye demokrasia na hawaogopi kudai haki zao
UAMSHO wapo jela sasa kwa miaka,kuna kiongozi wa dini huku Bara yupo tayari kukaa mahabusu kutetea anacho amini?
Thubutu!
 
Lipumba ndio mwenyekiti na punde atakabidhiwa .Hamkubali subirini muda
Ingekuwa CHAMA chenyenguvu Bara ndipo CCM ingemtumia Msajili kuongeza mgongano
CUF wana nguvu sana ZNZ na msajili hana nguvu kule
CUF wamewahi fukuza vigogo tena waanzilishi wao kule ZNZ lkn hakikuyumba
Mnyaa HANA shukrani,alishindwa kura za maoni mara 2 zote wakawa wanambeba
Hii mara ya 3 wakamuacha ndio vurugu sasa
 
Kikao cha kihuni taarifa inatilewa saa sita usiku halaf wengine wapo kigoma na mwanza
Kinachonisikitisha tunaaminishwa uhalali wa maamuzi na hakuna chombo cha habari kinachotoa ufafanuzi wa kina juu ya uhalali wa kikao. Yawezekana Profesa na wenzake wamekosea lakini hiyo haitoi uhalali wa Maalim kuitisha kikao haramu na kuisigina katiba ya CUF. Kwa nini asifuate taratibu za kikatiba za CUF? Alihofu nini?
 
Kwanza sefu alishapewa barua na msajili akajieleze sasa yy kakimbilia baraza kuu wakati hakutakiwa kufanya kikao chochote bila ya kujieleza .
Na katiba inasema kamati tendaji ndio huandaa kikao cha baraza kuu .
Wap kikifanyika kikao cha kamati tendaji hahaa .
Magazeti na vyombo vya habarikwa ujumla havitaki kusema ukweli wa kinachoedelea .
Halafu Seif naye anapinga udikteta, eti ni mpigania demokrasia...
Ha ha ha ha..
 
Back
Top Bottom