Kijue kinachokwamisha maendeleo ya Taifa letu

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Wanajf habari zenu
Naamini kabisa mambo mengi yamezungumzwa na yanazidi kuzungumzwa juu ya kwann tunashindwa kufikia maendeleo ya taifa kwa ujumla......nilichogundua mm japo wataalamu wengi wameongea mengi ni ukosefu wa usimamizi uliobora kwa ile mipango na sera tulizoziweka ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya taifa letu. Ucmamizi huo mbovu unatokana na kuwa na viongozi wanaojisahau pindi wanapopewa majukumu hayo....... Je nn kifanyike ili tuwe na usimamizi mathubuti ktk kuhakikisha tunaleta tija kutokana na sera tulizonazo kwn hata kma tutachukua sera ubepari na kuitumia ktk nchi yetu kamwe hattwez kuendelea kwakuwa na wasimamizi wabovu wa itikadi hyo

Japo ni kwa ufupi naomba mawazo yenu......
 
...ni utawala dhaifu, na ubinafsi...!
 
wale mababu zetu walioruhusu ndugu zetu kuuzwa utumwani ndio walotuletea balaa hili
 
Kwa mtazamo wangu,nikiangalia tasisi nyingi zilizotaifishwa zinavyopiga hatua baada ya kuchukuliwa na wawekezaji wa nje ni kwamba Watz hatuwezi kujiendesha kitaasisi. Tumekuwa wabinafsi,watu wa kubebana bila kuangalia uwezo na watu na kupenda mafanikio ndani ya muda mfupi.
 
Tatizo haliko Tanzania tu, tatizo ni kwa Afrika nzima.

Juta tu kuzaliwa mwafrika, na nakiri hiki kitu vijana wengi waafrika wakipata fursa ya kwenda nnje ya bara hili huwa hawataki kabisa kurudi,.

Waafrika kwanza tuna roho mbaya sana. Fikiria Rais mstaafu ambaye amehakikishiwa kutunzwa mpaka kifo lakini bado anaiibia serikali! Ni tamaa zisizotimilizwa hata mwafrika apewe dunia nzima iwe ya kwake bado tu hataridika na atafisidi taifa lake.
 
Kushindwa kujiendesha pia ni zao linalokuja baada ya kushindwa kusimamia watendaji na kuleta undugu ktk taasisi
 
Tatizo haliko Tanzania tu, tatizo ni kwa Afrika nzima.

Juta tu kuzaliwa mwafrika, na nakiri hiki kitu vijana wengi waafrika wakipata fursa ya kwenda nnje ya bara hili huwa hawataki kabisa kurudi,.

Waafrika kwanza tuna roho mbaya sana. Fikiria Rais mstaafu ambaye amehakikishiwa kutunzwa mpaka kifo lakini bado anaiibia serikali! Ni tamaa zisizotimilizwa hata mwafrika apewe dunia nzima iwe ya kwake bado tu hataridika na atafisidi taifa lake.

Hilo sawa kabisa
 
Back
Top Bottom