Kijue kikosi cha Yanga kilicho itambia Simba miaka 5 mfululizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijue kikosi cha Yanga kilicho itambia Simba miaka 5 mfululizo

Discussion in 'Sports' started by Fidel80, Jul 29, 2008.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Inafika kipindi lazima tukumbuke historia yetu katika maisha kila siku wapi tuliko toka na wapi tunako endelea.
  Kwa wale vijana wa enzi hizooooooooo wataungana na mimi kukumbuka upinzani wa jadi wa enzi hizoo na kukumbuka majina ya baadhi ya wachezaji wa enzi hizo naamini ingekuwa ndio leo basi wangekuwa mabilionea.
  Angalia List ya watoto wa Jangwani enzi hizo Mnyama alikuwa hafurukuti hata kidogo kikipangwa kikosi hiki;-
  1-ELIAS MICHAEL
  2-KILAMBO
  3-KITENGE
  4-GOBOSI
  5-KAPELA
  6-ABDULRAHAMAN JUMA
  7-CHITETE
  8-SUNDAY
  9-KITWANA
  10-DILUNGA
  11-SEMBULI

  Wachezaji wa akiba;-
  1-JUMA BOMBA
  2-BADI ALLY
  3-MUHIDINI
  4-BONA MAX
  5-MOHAMED UGANDO
  6-BONA BRUNO.
  Unaweza ukaongezea wengine.
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Sasa tumeshaingia mambo ya Simba na Yanga na hapatatosha. Ngoja tusubiri na ile Simba iliyoitoa Yanga kamasi kwa miaka 5 mfululizo!

  Fidel 80, naona sasa mnajifariji baada rungu la CECAFA kuwashukia na kugundua kuwa mmechemsha na kutuaibisha Watanzania. Pamoja na makeke yote bado ni hawa Simba na Yanga ndo wamesababisha kudumaa kwa Soka la Tanzania. Hizi timu zenu inatakiwa zife kama zilivyokufa Gor mahia na AFC Leopards za Kenya ili Soka la TZ lipande; zibaki timu kama za Mtibwa na Kagera Sugar ambazo hazina waganga njaa.

  Tuache unazi kwa manufaa ya Soka letu.
   
 3. MGILEADI

  MGILEADI JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 925
  Likes Received: 857
  Trophy Points: 180

  Ongeza Boi "Wickens" Idi, Awadh Gessan, Gilbert Mahinya "Mashine"
   
Loading...