Kijue chama cha siasa chenye muundo wa kipepekee Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
664
829
Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee

1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake

2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi

3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake

4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake

5. Kina M/kiti wazee taifa hakina Makamu wake

Kwa mtazamo huu chama kina kuwa au kina kufa kama jibu lako ni NDIYO/HAPANA toa sababu ya kukuwa au kufa kutegemeana na jibu lako.
 
Haya ni yale mafumbo ya kipindi cha watoto, siyo mahali pale hapa
 
Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee

1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake

2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi

3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake

4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake

5. Kina M/kiti wazee taifa hakina Makamu wake

Kwa mtazamo huu chama kina kuwa au kina kufa kama jibu lako ni NDIYO/HAPANA toa sababu ya kukuwa au kufa kutegemeana na jibu lako.

Hukukitaja jina na hujatupa KATIBA yake sasa tutachangia vipi?
 
Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee

1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake

2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi

3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake

4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake

5. Kina M/kiti wazee taifa hakina Makamu wake

Kwa mtazamo huu chama kina kuwa au kina kufa kama jibu lako ni NDIYO/HAPANA toa sababu ya kukuwa au kufa kutegemeana na jibu lako.

Hii hadithi yako inatufundisha nini????.
 
kuwa muwazi hiki ni chama cha chadema.makam mwenyekiti said hafi kajiuzuru.katibu mkuu msaidizi zito kabwe kavuliwa cheo

Makam mwenyekiti bavicha juliana kafukuzwa nafac ipo wazi
 
Mkuu una maaniisha chama gani UKAWW au CHADEMA???
Mfano
CHADEMA;
#Mwenyekiti taifa: Freeman
Makamu:...........;;:............
#Katibu mkuu taifa: Dr Slaa
Naibu katibu mkuu ..............
#Mwenyekiti BAVICHA: Heche
Makamu............
 
Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee

1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake

2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi

3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake

4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake

5. Kina M/kiti wazee taifa hakina Makamu wake

Kwa mtazamo huu chama kina kuwa au kina kufa kama jibu lako ni NDIYO/HAPANA toa sababu ya kukuwa au kufa kutegemeana na jibu lako.

Kuwa au kutokuwa na Makamu/kaimu au nafasi yoyote haifanyi chama kuwa bora, kuwa hai au kuelekea kufa. Ili tufikie mahali kujenga hoja lazima tupate uhalali wa sababu. Na ili tupate uhalali wa sababu ni lazima tupate jina la chama, Katiba ya chama hicho, Sera na miongozo ya chama, itikadi na refference za utendaji wa viongozi wake.

Kwa mantiki hiyo basi, nashauri uje na hayo kwanza halafu baada ya kupitia vyote na kupima ubora wake kulinganisha na inavyotakiwa na mazingira ya sasa au kutokana na vyama vingine, ndipo tutaelekea kusema ni vipi hasa!
 
Ni chama cha siasa hapa Tanzania chenye sifa za kipekee 1. kina M/kiti Taifa lakini Hakina Makamu wake 2. Kina Katibu wake Taifa lakini Hakina Katibu msaidizi 3. Kina M/kiti wa Vijana lakini hakina Makamu wake 4. Kina Makamu M/kiti wanawake taifa hakina M/kiti wake 5. Kina M/kiti wazee taifa hakina Makamu wake Kwa mtazamo huu chama kina kuwa au kina kufa kama jibu lako ni NDIYO/HAPANA toa sababu ya kukuwa au kufa kutegemeana na jibu lako.
Ni wajinga pekee ndio wanaweza kuacha kujadili mambo mazito kwa manufaa ya taifa linalo poromoka uchumi kila leo na kuanza kujadili mambo ambayo hayana impact yeyote kwa taifa. Kazi mnayo watanzania kwa kuwa na watanzania wajinga kama huyu mtoa mada.
 
Taifa la wajinga huandaa viogozi wa kijinga na watu wake huwa wajinga na chama cha wajinga mawazo yao ni ya kijinga
 
Kinakua kwa sababu hizo nafasi wazi ni kwa sababu ya kuwajibisha,na inaonesha chama hicho kina katiba kinayoiheshimu na kuilinda.
Hata mimi natamani kuwa mwanachama wa chama hicho,ambacho hakuna kulindana!
 
Back
Top Bottom