Hakumtaja Magufuli pleaseNi wakati akichangia mada kwenye kigoda cha Mwalimu na kugusia jinsi watumishi wanavyoitwa wezi na kufukuzwa
Nayeye kuhojiwa kwa masaa sita.Nyumba yake itazingirwa muda si mrefu
Ni kawaida kwa mtu yeyote wa ccm kumwona kila anaye hitaji watu wapate haki zao stahiki ni wa chadema ,kwa tafsiri hiyo unataka kutuaminishia kuwa chadema ndio chama kinacho hitaji watu watendewe haki stahiki, na ccm kinapenda watu wanyimwe haki zao stahiki? Nadhan wana ccm kuna haja ya kufuta dhana hii vichwan mwenu maana mtafanya wananchi tuamini kuwa kila jema linalindwa na chadema na kila ovu lina tetewa na ccm kitu ambacho si kweli, nadhan wana ccm mlio wengi hamjajifunza maana halisi ya democrasia hasa kiutendaji wake ila mmejifunza chuki dhidi ya democrasia na utekelezaji wake.NGO ya chadema hiyo nilishaacha kumfuatilia huyo mpiga debe wa chadema.
Kweli kabisaNi kawaida kwa mtu yeyote wa ccm kumwona kila anaye hitaji watu wapate haki zao stahiki ni wa chadema ,kwa tafsiri hiyo unataka kutuaminishia kuwa chadema ndio chama kinacho hitaji watu watendewe haki stahiki, na ccm kinapenda watu wanyimwe haki zao stahiki? Nadhan wana ccm kuna haja ya kufuta dhana hii vichwan mwenu maana mtafanya wananchi tuamini kuwa kila jema linalindwa na chadema na kila ovu lina tetewa na ccm kitu ambacho si kweli, nadhan wana ccm mlio wengi hamjajifunza maana halisi ya democrasia hasa kiutendaji wake.
NGO ya chadema hiyo nilishaacha kumfuatilia huyo mpiga debe wa chadema.
Kweli haki za binadamu zimeachwa kutetewa na zinatetewa haki za mafisadi...Ni wakati akichangia mada kwenye kigoda cha Mwalimu na kugusia jinsi watumishi wanavyoitwa wezi na kufukuzwa
Haki za binadamu ni za binadamu,hakuna tafsiri mbili za binadamu-huyu binadamu na yule binadamu nusu,wana haki kwa kuwa ni binadamu,hata kama wana makosa,hayaondoi ubinadamu wao,ukiwafunga huwezi kuwatendea kama wanyama,utawaheshimu kama binadamuKweli haki za binadamu zimeachwa kutetewa na zinatetewa haki za mafisadi...
Bisimba haeleweki hasa anasimamia haki gani...kabla ya JPM kuwa rais alikua akisema Serikalini kuna upotevu wa pesa ambazo zingewasaidia wajane na walemavu, leo hatua zimeanza kuchukuliwa anatetea mafisadi..
Kumbe ili mkono uende kinywani lazima uwe against Serikali kama UKAWA..Salaleeee
Wanyonge ni akina nani? Lugha za kipropaganda hizo hazina lolote,kutafutia sifa na kura kwa kucheza na emotions za watu ili kuwapa hisia Kali za kuonewa wakati ulitakiwa uwaambie Maisha yao ni jukumu lao....walime,wafuge,wasomesheHuyu mama nimwanasiasa wa vyama vya upinzani. Hatetei wanyonge wa nchi hii
Muuaji ataitwa muuaji, mwizi ataitwa mwizi, kibaka ataitwa kibaka, fisadi ataitwa fisadi...sasa Bisimba anataka jamii iwaite malaika?Haki za binadamu ni za binadamu,hakuna tafsiri mbili za binadamu-huyu binadamu na yule binadamu nusu,wana haki kwa kuwa ni binadamu,hata kama wana makosa,hayaondoi ubinadamu wao,ukiwafunga huwezi kuwatendea kama wanyama,utawaheshimu kama binadamu