Kijiji mkoani Tanga chauzwa kwa mwekezaji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,831
2,000
Kijiji cha Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga, kimearifiwa kuuzwa kwa mwekezaji.Hatua hiyo imeelezwa kuwa itaathiri zaidi ya kaya 2000 katika kijiji hicho.

Hatua hiyo imeonekana kuwashangaza wakazi wa kijiji hicho kwani wameonekana kutoelewa nini kinachoendelea.ITV imewahoji wakazi wa kijiji hicho ambao wameeleza kushangazwa na upimaji wa ardhi uliokuwa unaendelea kijijini kwao.

CHANZO:ITV

MY TAKE:
Kama wameanza kuuza vijji na wakazi wake,ipo siku watauza nchii kwa wageni.

"Mbili huanza na moja".
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom