kichwa masaburi wee..!waambie tvawanunua 2015 huko watakakokua.hawatuumizi vichwa miaka 4 ni mingi sana.ccm haifugi wavunjg sheria.waache kujenga barabarani.
Kwani chama kilichoko madarakani ni CCM ni CHADEMA?sasa tanroads na ccm vinaingilianaje??
warudishe tu
Nasikia wametishia kujiunga CCM B
Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV
Mkuu Twahil knows what he is saying, watanzania wengi walio pembezoni wanauza kura kwa ubwabwa, kofia na tisheti za kichinakichwa masaburi wee..!
Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV
tatizo letu tunapoliticise kila kituKwani chama kilichoko madarakani ni CCM ni CHADEMA?
Waambie tutawanunua 2015 huko watakakokua.Hawatuumizi vichwa miaka 4 ni mingi sana.CCM haifugi wavunja sheria.waache kujenga barabarani.
Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV
Hujakosea kabisa, ila umesahau sifa nyingine kuwa ni watu rahisi sana kudanganyika......
pia usisahau watanzania ni mabingwa wa kusahau duniani