Kijiji chote warudisha Kadi za CCM

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV
 
Waambie tutawanunua 2015 huko watakakokua.Hawatuumizi vichwa miaka 4 ni mingi sana.CCM haifugi wavunja sheria.waache kujenga barabarani.
 
Mkuu usidanganyike na hao wanakijiji. Ingekuwa ni wanakijiji wa mkoa mwingine ningewaelewa, lakini wakazi wenyewe wako Tanga! Hao (Tanga) ni CCM magamba daima hata wakose umeme/maji miaka 200 ama wafanyweje hawatopigia kura chama kingine wakati wa uchaguzi zaidi ya kijani. Tanga, Tabora, Mtwara, Lindi waache na magamba yao. Tanroads imefanya la maana sana kufanya hiyo move.
 
kichwa masaburi wee..!
Mkuu Twahil knows what he is saying, watanzania wengi walio pembezoni wanauza kura kwa ubwabwa, kofia na tisheti za kichina

pia usisahau watanzania ni mabingwa wa kusahau duniani
 
Kwani chama kilichoko madarakani ni CCM ni CHADEMA?
tatizo letu tunapoliticise kila kitu

unadhani wangekua chadema wako madarakani ndio hao wananchi wangepona kwa kujenga barabarani?
 
Waambie tutawanunua 2015 huko watakakokua.Hawatuumizi vichwa miaka 4 ni mingi sana.CCM haifugi wavunja sheria.waache kujenga barabarani.

Ndugu yangu magufuri alikua anatekeleza bomoabomoa nyumba zote na mabango yaliyopo kwenye hifadhi ya barabara mkuu wa kaya akampiga bit kali,sasa leo nani ameruhusu?
 
Toa taarifa kamili. Wanarudisha kadi kwa nani ulivyoona?. Siku zote wanaambiwa hicho si chama cha kutetea wanyonge bali EPAS DOWANS JAIROS ROSTAMS. Hao wakipewa tu mnazi na boha watukua kadi zao maana maisha bovu kwa kila mtu yanakuja kwa kasi na ari zaidi.
 
Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV

Huko ndio Nyumbani, Mageuzi bado kabisa Tanga. Mama zangu utafikiri wamerogwa na CCM. Si waamini hao wanafiki ukija uchaguzi wakipewa Pilau na Khanga wanapigia ccm, waache kwanza wayajue machungu ya CCM
 
Mitanzania haina akili. Kwahiyo tatizo lao ni fidia tu?.
 
Back
Top Bottom