Kijiji cha sayansi tanzania inawezekana au????

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
tangia zaman sana nlikua nackia na naendelea kuckia habar za vijiji vya sayansi ulaya yani vijiji kama vya uvumbuzi wa silaha, magari. Ndege, software e.t.c sio kuvumbua tu hata kuendeleza pia nliwahi ckia huu mradi tanzania ulishawahi kupewa kipaumbele lakini mpaka leo ni manenn tu hakuna kinachofanyika wanajamii NAOMBENI FEEDBACK
 
Back
Top Bottom