Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Wananchi wa kijiji cha Ng'ombe wilayani Misungwi mkoani Mwanza wamemkataa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa, Zakayo Magongo aliyepita bila kupingwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mitaa huku wakimtuhumu kwa kuchochea ugomvi na kukosa ushirikiano na wananchi.