Kijana wangu wa kazi amempa mimba dada wa kazi, ndugu wa dada wamempeleka Polisi kijana

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kijana wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka Polisi, wakidai kosa ni kukataa mimba na Polisi wamemweka maabusu, swali kumpa mimba mtu mzima mwenzako nikosa kisheria?

Na kama ni kosa ni kosa gani? Ikumbukwe hawa ni watu wazima wote, kesi imepelekwa Polisi na wazazi na ustawi kwa baada ya kijana kuikataa mimba wazazi wa mwanamke wanataka kijana alee mimba.
 
Mambo ya fweza hayo, uzuri hao jamaa ukipanda dau watageuza maskio wakusikilize wewe!
 
Mkuu mbona kama ume-panic? Mara dada wa kazi, mara binti wa jirani, mara "anemia", mara "kija"! Vipi Mkuu?! Au hilo zigo ni la kwako mwenyewe, ukaamua um-set kijana wa kazi kwa kujua mambo yangeisha kirahisi, sasa unaona mtiti unapelekwa kwa Pilato, ndo mapigo yako ya moyo yameanza kwenda kasi kwa hofu huenda Kijana wa Kazi akajivua madaraka na kukudondoshea jumba bovu ulilojenga mwenyewe kwa mchanga?
 
Title: Kijana wangu wa kazi anemia mimba dada wa kazi mimba, ndugu wa dada wamempeleka police kijana

Content: ...kija wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani

MY TAKE:

Mkuu mbona kama ume-panic? Mara dada wa kazi, mara binti wa jirani, mara "anemia", mara "kija"! Vipi Mkuu?! Au hilo zigo ni la kwako mwenyewe, ukaamua um-set kijana wa kazi kwa kujua mambo yangeisha kirahisi, sasa unaona mtiti unapelekwa kwa Pilato, ndo mapigo yako ya moyo yameanza kwenda kasi kwa hofu huenda Kijana wa Kazi akajivua madaraka na kukudondoshea jumba bovu ulilojenga mwenyewe kwa mchanga?
Mkuu unajua kabisa kapaniki unazidi kumpanikisha badala ya kumshusha pressure are advicer?
 
Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kija wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka polisi, wakidai kosa ni kukata mimba na polisi wamemweka maabusu, swali kumpa mimba mtu mzima mwenzako nikosa kisheria?..
Kosa ni kutaa hiyo mimba aliyomjaza binti wa watu....kama wanavyotaka wazazi wa huyo binti...AILEEE MIMBA na MTOTO akizaliwa!
 
Acha wamtie ndani maana AKILI hana.
Unakataa vipi mimba kiboya hivyo?.
yeye angekubali kuwa mimba ya kwake na angeilea alafu Kama anaona mizinguo kuilea mimba AKIMBIE.ila kwa Sasa hivi hao ndugu Wana Moto hawawezi kukubali uikatae mimba
 
Dingii kama wamesema kuwa ana miaka 17 basi hiyo ni jinai ya ubakaji. Kama kweli kijana katia mimba aongee tu na wazazi wa binti na akubali ili mambo yaishe na yapite. Kutia mimba haimaanishi kuwa ni ndoa, akiona mambo magumu anamkimbia tu ila kama ni mimba yake basi ni hekima na wajibu kulea kilichp chako
 
Back
Top Bottom