Kijana wangu mpendwa kapata Division 0(Point 35) anasema kafaulu! Nimepanga nimfanyie sherehe!

Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,

Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!

Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza

Asanteni sawa
Hapo huhitaji kupima DNA
 
Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,

Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!

Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza

Asanteni sawa
Mfanyie sherehe mkuu ya kufeli,at least kasema ukweli.
Ujumbe wako kwenye sherehe mwambie angekua mkweli namna hiyo sikuzote angepata maksi za kutosha tu.
 
Mpe pongezi zake mkuu,wote wakifaulu nani atamheshimu mwenzake?wazoa taka,waajiriwa,masikini,matajiri n.k wote wanatakiwa ili kubalansi dunia.
 
Kajitahidi sana. Hata wale kumi bora ya taifa hakuna hata mmoja aliyefikisha point 35.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom