Kijana wangu mpendwa kapata Division 0(Point 35) anasema kafaulu! Nimepanga nimfanyie sherehe!

mpe hongera sana,wamama tuna sare zetu kwa ajili ya sherehe? au hakuna? lol
 
Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,

Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!

Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza

Asanteni sawa
Acha bange basi kujaza saver za jf kwa uzi usiokua na kichwa wala miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,

Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!

Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza

Asanteni sawa
fanya haraka sana mkuu, wengine wamepata div 1 ya 9 ni chache, yeye kapata 0 ya 35 yaani kawapita wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom