Kijana wangu anataka kusomea Udaktari

Yes ni ndefu ila ni safe! 4m4 kupiga div 1/2 ni rahisi CO chap ila six bila 1 MD hugusi. .... Mwisho wa siku dogo anasoma course nje na malengo. Kama akifaulu vizuri 4m4 binafsi nashauri aunge C.O six kumeua ndoto za watu wengi sana.
U have a point. Lakin embu tungoje matokeo yake . Uatatupa picha halisi ya huko tuendako.
 
Habari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?
Ni uamuzi mzuri kwa mazingira ya nchi yetu. njia anazotakiwa ni hizi: Matokeo ya form four awe na ufaulu wa C au zaidi kwenye Chemistry na Biology alafu awe walau D au zaidi kwenye Physics. Kisha aombe ordinary diploma in clinical medicine(miaka 3) vyuo vya serikali au binafsi. kisha akihitimu hiyo diploma kwa GPA ya 3.5 au zaidi afanye kazi kama miaka miwili ndio aombe Degree yani Doctor of Medicine.

NB: Kama ana D flat kwenye Physics,chemistry na bios anaweza kusoma hiyo diploma ila hataruhusiwa kusoma degree kwasababu sifa za mtu anayetokea diploma kwa hii kozi ya doctor of medicine lazima cheti cha form four awe na C kwenye chemistry na bios na D kwenye physics au zaidi. na vyuo vingine kama Udsm campus ya mbeya wanahitaji awe na C tatu za hayo masomo O level. Vyuo vya diploma hii ya Clinical medicine ambapo akihitimu anaitwa clinical officer ni kama Kibaha, lugalo, mtwara, kilosa etc. private ni kama kamu, decca, st Joseph etc
 
Nadhani kwa mtu ambae amemaliza form four hawez kuanza diploma moja kwa moja inabid aanze na certificate ya course ya afya kwanza, then ndo aende clinical officer(diploma) then medical doctor(degree).
Angekuwa kamaliza formsix ndo angeweza kuanzia level ya diploma (clinical officer) then Md or form six then anaenda direct Md kama ana ufaulu mzuri.

Sent from my iPhone using JamiiForums
HAPANA haupo sahihi ndugu. Ordinary diploma in clinical medicine anasoma mtu wa form four na form six wote kwa pamoja. wanaanza NTA level 4 wote kisha NTA level 5 na NTA leve 6. Hii ni kulingana na mwongozo wa NACTE wa miaka yote kwa sasa. yeyote kati yao akishafika NTA level 5 anaweza kustop na kutunukiwa Technician Certificate au akiendelea na NTA level six basi atatunukiwa hiyo certificate ya ordinary diploma.
 
Okay

Mi nilikuwa najua wa form four ndo wanaanza na nta 4

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi nilikuwa najua wa form four ndo wanaanza na nta 4

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana kwa kozi za afya ni wote kwasababu cheti wanachotumia kuingia ni cha form four, cha form six ni added advantage tu. Kwa kozi za arts na biashara mfumo wao ndio uko hivyo kama una subsidiary na pass moja form six unaanza NTA level 5 na kama ni form four unaanza na Basic certificate NTA level 4.
 
Kwahivi sasa naona njia zote mbili ..ya kusoma PCB na diploma ya clinical medicine zote zina changamoto.

Nikianza na diploma hii atahitajika akomae haswa maana kutoka diploma kwenda MD wanahitaji GPA ya 3.5 ya mtihani wa NACTE ..ambao ni mitihani migumu ...kuna watu wanasoma diploma mpaka miaka 4 or 5 kabisa ...ndio wanapata diploma ..kutokana na supplementary...wengine wanakata tamaa na kuishia njiani ..hii ni hasa kwenye vyuo vya private ...pia kwa system iliyopo hivi sasa unaweza kushangaa akaja kumaliza diploma likatoka tamko ,..hakuna kusoma degree bila kupitia kidato cha tano na sita ..nadhani prof ndalichako aliwahi sema hii mwaka jana kama sikosei ...sikufuatilia kama alibadili maamuzi baadae ...au mpaka leo ipo hivi

Njia ya form six nayo atahitajika afaulu vizuri angalau apate one ya point kuanzia 6 ...maana hivi sasa course za afya zinaushindani sana ..na wanafunzi wanafaulu sana ...pia vyuo ni vichache maana kuna vyuo kama Ifakara ..ajuco...KIU na IMTU ambayo vilikua vinasaidia kupunguza ushindani kidogo.. hivi sasa havichukui wanafunzi....

HITIMISHO...Kwa njia yoyote atakayo ichagua kati ya hizo mbili.. itampasa kukaza haswa ili afikie lengo lake la kuvaa koti jeupe ...msaidie bega kwa bega atimize ndoto yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?
Inawezekana.. Afaulu Phy, Bio, Chem, Maths na English.
Ataanzia Assistant Clinical Officer (ACO) Miaka miwili then Clinical Officer (CO) Miaka mi3 then ndio aende Degree..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Mkuu hata kama ukimaliza form six unapoomba clinical officer unaanza certificates vile vile haijalishi so wote form 4 na na 6 wanaanza Certificates pamoja ila namshauri huyo mzazi hapo juu kama kipato chako cha kuunga unga mpeleke mwanao akasome C.Oakitoka hapo anajitegemea na Hiyo MD atajiendeleza baadae na kama kipato kipo poa mpeleke 6 kwenye shule za maana ili apate credit nzuri then atasoma chuo chochote hata kama ni private ila kumbuka private ada huanzia 5+ milioni uwe tayari.
Nadhani kwa mtu ambae amemaliza form four hawez kuanza diploma moja kwa moja inabid aanze na certificate ya course ya afya kwanza, then ndo aende clinical officer(diploma) then medical doctor(degree).
Angekuwa kamaliza formsix ndo angeweza kuanzia level ya diploma (clinical officer) then Md or form six then anaenda direct Md kama ana ufaulu mzuri.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana.. Afaulu Phy, Bio, Chem, Maths na English.
Ataanzia Assistant Clinical Officer (ACO) Miaka miwili then Clinical Officer (CO) Miaka mi3 then ndio aende Degree..

Nikusahihishe kidogo, mfumo wa kusoma vyuo husomwa kwa ngazi za NTA levels, kuna NTA le 4,5 na ,6 ambapo Technician certificate in clinical medicine,(ambayo mhitimu wake ndio tabibu msaidizi au clinical assistant)
husomwa miaka miwili yani NTA level 4&5. Kisha diploma ni NTA level 6 ambayo ni mwaka mmoja. kwahiyo akisoma Technician certificate miaka miwili diploma anasoma mwaka mmoja yani amalizia NTA level 6. na sio kwamba atasoma diploma kwa miaka mitatu tena Hapana.
Nashauri tusitoe ushauri kama hatuna taarifa za kutosha za kada husika hasa kwa kurejea mwongozo wa NACTE
#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Nitamshauri baada ya ya matokeo kutoka, ila popote tu sawa kupitia NTA lavel or six MD wetu mtarajiwa
 
Back
Top Bottom