Kijana wakiume/wakike anaitajika kuanzia trh 1/08/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana wakiume/wakike anaitajika kuanzia trh 1/08/2012

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bishop Fihavango, Jul 26, 2012.

 1. B

  Bishop Fihavango Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Wanajamii nahitaji mtu wa kuniuzia duka langu la vocha za simu + tigo pesa,duka ni jipya ila natarajia baadae niweke na Mpesa,Airtel Money,Tigo rusha,vocha za jumla,Max malipo na vinginevyo,kuhusu malipo ni makubaliano,duka lipo maeneo ya Magomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa email ya fihavangoa@yahoo.com
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  nipe namba zako kama bado hujapata.
   
Loading...