Kijana wa miaka 18 ajisalimisha Polisi baada ya kumuua baba yake

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwanafunzi wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kericho nchini Kenya amejisalimisha kwenye kituo cha polisi mara baada ya kumchoma kisu baba yake mzazi hadi kufa wakiwa kwenye mabishano ya masaa kadhaa.

Mkuu wa kituo cha polisi cha Toroton Richard Koech amethibitisha kujisalimisha kwa kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 18 kituoni hapo.

Mkuu wa kituo amesema kwamba kijana huyo alifikia hatua ya kumchoma kisu baba yake mzazi baada ya ubishani mkubwa baina yao baada ya baba yake kutaka apewe maelezo ya kina kwa nini mtoto huyo alirejea nyumbani mapema ndipo ugomvi mkubwa ulipozuka baina yao na kufikia hatua ya kijana huyo kumchoma kisu baba yake.

Baada ya kuchomwa kisu alifiikishwa kwenye hospitali moja mjini humo ambako umauti ulimfika baadae akipatiwa matibabu.
 
Yaliyotabiriwa kabla ya mwisho wa dunia ndo haya yako bayana......
 
Back
Top Bottom