Kijana wa kiume wa sasa tumejianda aje kuoa mwanamke aliyekuwa inspired...?

kingzeddy

Member
Aug 20, 2015
93
125
Habari wanajamvi..!?

Napenda kuleta kwenu hii mada tajwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ni ukweli usiopingika dunia ya sasa mfumo una nataka haki sawa kwa kila jinsia. Na huu mfumo unawapa wanawake favour sana.semina za kutosha, elimu ya kujiamini,kutambua haki zako n.k

Ni wazi kabisa wanawake wa kizazi hiki wanaanza kuandaliwa mapema namna ya kijitambua na kujitegemea mwenyewe ukilinganisha na wanaume.

Mfumo dume ni jambo linalopigwa vikali na mfumo wa sasa. wanaume wengi wamekuwa wakiamini sana mfumo dume ndo unaowapa POWER.


swali : je waume wamejiandaa aje kuoa wanawake waliokuwa inspired tukilinganisha na tamaduni zetu.....?

Pia walio katika ndoa na wanawake waliokuwa inspired watusaidie tafadhali.

Karibuni tujadili

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
4,628
2,000
mfume dume kwa wanawake wa hapa bongo badoooo sanaaani dhana iliyopo kwenye makaratasi tu
 

Joh Doe

JF-Expert Member
Sep 23, 2019
281
1,000
Marry with the exit in mind, because that's where men get shafted a good one - the exit. There are no guarantees in human relationships.

For example; If you marry a single mother, Are you okay with paying child support for a kid or kids that aren't yours if the marriage fails? Do you know that the risk of a marriage failing increases significantly if one spouse has a child already? It hurt less if the kids you are paying child support for are actually yours.

Another example; If you marry a party animal and alcoholic/smoker - proverbial watoto wa mjini, Are you okay with a higher likelihood of infidelity on her part? Are you ready to raise kids with mental health issues due to her alcoholism? etc.
If you are going to marry, make sure you get a good deal. I would advise you to keep spinning more plates until you find a right fit.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom