Kijana wa kiume akifikisha umri gani ndipo ahame kwa wazazi wake?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,830
Jamani kuna kaka anakaribia miaka 45 anaishi kwao, anadai eti anataka kunioa. Nkamuuliza tutaenda kuishi wapi, ananiambia eti hapohapo kwao. Ameni upset ile mbaya.
 
Zamani kijana ukibalehe tu unaenda kuanzisha mji wako. Hata nchi zilizo endelea ni nadra kukuta kijana wa miaka 20 anaishi na wazazi wake.
Tanzania yetu haswa uswahilini utakuta watu wanazeekea kwenye nyumba walioachiwa urithi na babu zao.
 
ingekuwa vyema tungejua pakoje hapo kwao.manake kama anaishi na wazazi wake na yeye anasehemu yake unayoweza ishi nae wewe na watoto mkiwa nao sioni tatizo ni nini.....!! huolewi na nyumba unaolewa na mtu,hilo la pa kuishi ukiona hapakufai tafuta sehemu nyingine mkakae.
 
Jamani kuna kaka anakaribia miaka 45 anaishi kwao, anadai eti anataka kunioa. Nkamuuliza tutaenda kuishi wapi, ananiambia eti hapohapo kwao. Ameni upset ile mbaya.
Huyo sio kaka sema kuna mbaba. Halafu hukuona jika lako wewe mtoto? Huyo mjane utampeleka wapi? Lazma kaachika au kafiwa na mke.
 
Uwii...Mwisho 30yrs...huwezi oa ukiwa home...that is first.....hata kama anaishi karibu na nyumbani familia zetu za kiafrica bana hazitabiliki unaeza letewa balaa wakati wowote..kukaa karibu home au home..hat kujenga close to home bado ni tatizo....

Ingawa sasa...umri unategemeana....kuna wengine miaka 30 bado anasoma...so bado ni dependant kwa wazazi...huyoo wa 45yrs no way....tueleze vyema....anafanya nini home!!anafanya kazi na kurudi home!!Dah kama na mama yake anaishi hapo na wazazi atakusumbua sana....si unajua mtoto anakuwa kama hakui akiwa home..
 
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. " (Mwanzo 2:24).
 
Is he your boyfriend/fiance?.....if not how can a person ask a girl/woman to marry him just outta blue?
Do you have feelings for him? If not why did you even asked him if he got a crib?
Mnanishangaza dada zangu.
 
Wewe nadhani hujapenda.Wapo watu wengi ambao wanakaa lakini hawajitambui,kila mtu anacho kilema chake,usitegemee utampata mpenzi ambaye amekamilika asilimia zote.Wewe kama kweli unajiandaa kuwa mama,hauna budi kumshauri huyo umpendae achukue hatua za kuhama nyumbani na kuwa na maisha ya kujitegemea.Kufikia hatua ya kukutamkia kukuoa ina maana tayari mmepitia hatua ya uchumba,je ni kitu gani cha kujivunia ulichomsaidia mwenzio zaidi ya kuja hapa kumuanika tu?

Wapo watu wengi ambao hata kuvaa hawajui,wengine wachafu kupindukia,wengine malaya lakini wanarekebishika na kuwa watu wema.Chukua hatua!!!!
 
ingekuwa vyema tungejua pakoje hapo kwao.manake kama anaishi na wazazi wake na yeye anasehemu yake unayoweza ishi nae wewe na watoto mkiwa nao sioni tatizo ni nini.....!! huolewi na nyumba unaolewa na mtu,hilo la pa kuishi ukiona hapakufai tafuta sehemu nyingine mkakae.
Tatizo kubwa hapa ni suala la uhuru!mtu anapokua anakaa nyumbani uhuru upungua sana!!
 
Jamani kuna kaka anakaribia miaka 45 anaishi kwao, anadai eti anataka kunioa. Nkamuuliza tutaenda kuishi wapi, ananiambia eti hapohapo kwao. Ameni upset ile mbaya.

Ndiyo huyu uliye muanzishia hii thread?
Nifanyeje kama mwenzi wangu haniridhishi?
 
Jamani kuna kaka anakaribia miaka 45 anaishi kwao, anadai eti anataka kunioa. Nkamuuliza tutaenda kuishi wapi, ananiambia eti hapohapo kwao. Ameni upset ile mbaya.

ha ha ha Nazjaz bwana nenda tu kakae ukweni ukome
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom