Kijana wa kiume akamatwa akimfanyia mtihani mpenzi wake wa kike

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Imetokea huko Zimbabwe,wote wamekamatwa wapo polisi kijana wa kiume alidai aliamua kumsaidia mpenzi wake maana amerudia mara nne anafeli tu.

5466459_bjwe_jpeg1b07d23682dc100e34c27db21ad533fd
5466460_capture_jpeg6d0ce43c2e6495dc5ba7597dd3872afd
 
Hiyo mbona ilitokea nikiwa nasoma kwenye ka chuo Fulani hapa Tanzania. Dada alikua ana supplementary (mtihani wa kutimiliza) wa QMS hivyo boyfriend wake siku ya kufanya mtihani huo wakaingia wote kila mtu akapewa booklet, yule dada akawa haandiki chochote, halafu yule kaka akawa ndio anaandika na mbaya zaidi kwenye booklet akawa amendika namba ya yule dada ambayo iko kwenye kitambulisho cha dada, hivyo msimamizi alivyoangalia kitambulisho cha dume hakina ile namba, kuangalia kitambulisho cha sister ndio chenye ile namba, na walikuwa wamekaa pamoja!!!!

Chuo kile hakina mchezo, ukishikwa unacheat kinachofuatia nikupandishwa kwenye gari ya wagonjwa ambulance hadi stendi kuu Msamvu na ndio mwisho wa Chuo!!!!
Wote wakakosa chuo kwa ajili ya "mapenzi"
 
Walisemaje sijui huko kwao kila mmoja alipofika!?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom