Kijana wa kitanzania nishawishi nikupe ajira

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,617
2,000
Habarini za asubuhi wakuu, naomba kuzamia moja kwa moja kwenye mada,

Katika kuwaza kwangu na Jana kupita maeneo mengi mahali nilipo na kuona bidhaa ambazo kwangu zilinipa wazo ila Mimi sio mjuzi na Sina mda wa kujifunza au kufanya shughuli ya namna ile.

Niliamua kwa Nini nisiwape vijana wa kitanzania kazi hii iwapo ni waaminifu na ambao kwa mda mwingi wamekuwa wakitamani kupata mtaji huu lakini hawana uwezo wa kuupata, sasa kijana naomba unishawishi kwa kuniandalia ka mpango kazi kazuri ili nikupe ajira hii.

Nimeona ninunue vifaa hivi japo vingine nimepewa Kama zawadi na marafiki zangu,
Camera Canoni 5d mark4 mbili na lens zake
Drone 2
Camera 1 camcorder Canon
Camera 1 live streaming Canon
Camera stand heavy 4
Lens telescope 3
Na lens 3 kubwa za Canon
Nikkon D7000 2 full
2 heavy laptop computer ssd 2 tb, ram 16 gb Icore 7, 10gen.

Hebu kijana wa kitanzania naomba uniambie tukiingia mkataba na wewe na kukupa hivi vitu nitafaidikaje na wewe pia utafaidikaje na vitu hivi karibu.
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,281
2,000
Mkuu, Mbona hapo hiyo ni Production Company Kabisa? Mimi Ukinipatia kwanza nitatoa Movies Mbili Kali za Miaka 5 ya JPM kisha Nitatoa Documentary Moja ya Kitabu Reginald Mengi then Baada ya Hapo Nitatengeneza Stori tatu kuhusu Rugemalila.

Kwa Kila Kazi hapo natarajia kuingiza sio chini ya Milioni 100 za kitanzania tena hapo kwa kuzingatia hali ya soko ila kama soko likichangamaka hizo kazi zitakuwa na zaidi ya hapo kawa sababu nitazitengeneza katika lugha ya kiswahili, kifaransa na kiingereza. Kuhusu wataalamu, waigizaji etc ila nitalishughulikia kwa utaratibu.

Usisahau kwamba kazi ndogo ndogo kama za kutengeneza matangazo,kuchukua video za matukio n.k.

Sijui nimekushawishi kwa kiasi gani ila nafikiri nimejitahidia maada nikiweka na habari ya youtube channel na streaming utashtuka.

Anyway nimekusoma na nimekuelewa
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,617
2,000
Mkuu,Mbona hapo hiyo ni Production Company Kabisa?Mimi Ukinipatia kwanza nitatoa Movies Mbili Kali za Miaka 5 ya JPM kisha Nitatoa Documentary Moja ya Kitabu Reginald Mengi then Baada ya Hapo Nitatengeneza Stori tatu kuhusu Rugemalila.

Anyway nimekusoma na nimekuelewa
Ahsante kwa bandiko lako zuri na mawazo mazuri ngoja niendelee kupata mawazo mengine pia nikiona unafaa nitakufuata pm tuyajenge
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,488
2,000
Mkuu,Mbona hapo hiyo ni Production Company Kabisa?Mimi Ukinipatia kwanza nitatoa Movies Mbili Kali za Miaka 5 ya JPM kisha Nitatoa Documentary Moja ya Kitabu Reginald Mengi then Baada ya Hapo Nitatengeneza Stori tatu kuhusu Rugemalila.
Hata huko Ulaya filamu za biography hua haziingizi pesa ndefu.
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,617
2,000
Ukiweka contacts mimi naziforward kwa mtu mnayeweza kufanya biashara. Mzoefu wa hizo ishu.
Ni sawa mkuu ila mwalike aje hapa kwanza,

Naomba labda nikwambie hili Jambo Cha kwanza Mimi sipo nchini na nilipo ndio natarijia kuja home tz so Kuna vifaa ambavyo nimepewa tu Kama zawadi na Kuna vifaa nanunua mwenyewe kwa hela yangu na tayri vipo kamili Kama ambavyo nimeviorodhesha hapo sasa kilichobaki nahitaji wazo Bora ili nikimpata mwenye wazo Bora nivibebe tofauti na hapo siwezi kubeba mzigo ambao utanipa gharama ya kulipia TRA alafu niishie kuuweka ndani Bora kuuzia wabongo wa huku huku nilipo
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,488
2,000
Mkuu mi sina pesa ila nimetamani kujua bajeti ya hivyo vitu jumla ni sh ngapi ?
Inategemea na unapoenda kuvinunua.

Mfano dukani PS4 inaanzia 600K. Hapo ni 4 Fat, Slim na Pro zinaongezeka bei. Specifications kama ukubwa wa HDD idadi ya controllers na kama anakuwekea game inapandisha bei ya kitu. A key ni ujue kubargain.

Dukani smart tv ya inch 32 inaanzia 400 kutegemea na brand. Ila kwa ajili ya kuchezesha game siyo lazima TV iwe smart kikubwa iwe na resolution ya kioo nzuri na HDMI ports ziwepo.

Mkononi PS4 ili isikupe muda wa kuiwinda muda mrefu andaa ofa ya 500K, kwa 400K unaweza kupata ila huchukua muda. TV inch 32 mkononi zinaanzia 200 kutegemea na brand inaweza bei ikashuka au kupanda.

Yaani kama location aliyotaja inachezesha mechi moja kwa bei aliyosema 15K inapatikana kwa urahisi.
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,939

You nailed it. Safi kibonde
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom