Kijana wa Kitanzania nimerudi kwa tena unishawishi nikupe ajira (Tehama)

nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
2,747
2,000
Mkuu unashawishi watu wakufikilie vibaya, wengi watahisi unatafuta wazo zuri la biashara

Ningekua wewe ningefikili tofauti kidogo..
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
510
1,000
Sio usome. Kama umekosa waliopo mtaani vyuoni wenye hizo mishe wapo sana. Hata kwenye mashindano ya talents huwa nawaona
Sasa mkuu unajua Mimi Nina majukumu gani au unathani ndio hivyo vyombo vinaniweka mjini? Nina majukumu yangu so swala la kwenda kuzunguka unatafuta watu ni swala jingine ikiwa ni tofauti na hapo Basi naviuza napata faida ndogo hiyo maisha yanasonga
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
3,705
2,000
Sasa mkuu unajua Mimi Nina majukumu gani au unathani ndio hivyo vyombo vinaniweka mjini? Nina majukumu yangu so swala la kwenda kuzunguka unatafuta watu ni swala jingine ikiwa ni tofauti na hapo Basi naviuza napata faida ndogo hiyo maisha yanasonga
Kama kila anayekuja na wazo humtaki, kila option hutaki, kila wazo halikidhi malengo yako, basi achana na uzi na uza vifaa. Sasa kama una majukumu ya kukuweka mjini wakati unavinunua vifaa hukujua kuwa unatakiwa utenge muda wa kutafuta partner unayetaka. Kama kutafuta partner unazira itakuwaje kuvisimamia, hebu uliza wenye kazi hizi kati ya kutafuta mwendeshaji wa bodaboda au kumsimamia kipi kigumu.

Uza vifaa ubaki na kazi yako
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,787

Mkuu niuzie hiyo Laptop, nitakuwa nakulipa kwa installments, monthly.
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
510
1,000
Kama kila anayekuja na wazo humtaki, kila option hutaki, kila wazo halikidhi malengo yako, basi achana na uzi na uza vifaa. Sasa kama una majukumu ya kukuweka mjini wakati unavinunua vifaa hukujua kuwa unatakiwa utenge muda wa kutafuta partner unayetaka. Kama kutafuta partner unazira itakuwaje kuvisimamia, hebu uliza wenye kazi hizi kati ya kutafuta mwendeshaji wa bodaboda au kumsimamia kipi kigumu.

Uza vifaa ubaki na kazi yako
Kwani Kuna shida gani mkuu, sasa Kama wazo linalokuja halina vigezo au mtu ana wazo lakini gharama inazidi hapo unategemea nikubali kindezi tu hivi au?
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
510
1,000
IMG_20210611_083233.jpg
IMG_20210611_083307.jpg
IMG_20210611_083343.jpg

Dell XPS ni mfano tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom