Kijana wa kisasa ni yupi kati ya hawa?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,040
10,459
Nikiwa mmoja wa vijana wa karne hii (21st century) nalipanda jukwaa la JamiiForums ili kupata jawabu na ufafanuzi unaoweza kunibadilisha kifikra na kimatendo katika hali chanya na yenye tija zaidi.

Vijana tumekuwa na kasumba ya kujikubali na kuwaona wale wanaoenda kinyume na tabia tunazozikubali kuwa ni washamba (wakuja) na sio vijana wanaoenda na trend (sio wa kisasa) so kijana wa kisasa ni yupi?

1. Yule anayenyoa kiduku na kuvaa vipusa na modo huku akiwa na mahusiano na mabinti zaidi ya watano.

2. Anayevuta bangi, mirungi na kunywa pombe huku akijisifia kuwa yeye ni hustler (Thug life)

3. Au ni yule mwenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii ambaye anajua habari A-Z za watu maarufu mjini.

4. Labda ni huyu mwenye degree ya UDOM ambaye ana laptop yenye Movies na Series kibao huku akichagua kazi kwa madai zinashusha status yake.

5. Nahisi anaweza kuwa huyu ambaye anakula vumbi la Congo huku akitegemea kulishwa na kulelewa na wamama wa town.

6. Vipi kwa huyu anayeshinda kanisani kuomba ambaye ni kiongozi wa kwaya.

7. Atakuwa ni huyu anayejihusisha na siasa za kumsifia mkulu stone na kumponda Freehuman.

Natamani kuwa kijana wa kisasa tatizo ni kuwa sijui kijana wa kisasa ni yupi.
 
Aisee... Nipo mahali hapa kufahamu pia kwamba yupi kijana wa kisasa hasa hapo kundi namba 3.
Nilicomment kwenye ule uzi wa Ali Mufuruki (R.I.P) nikasema "Kwani ni nani huyo Ali Mufuruki" Kuna jamaa akaniquote akasema "We wa wapi kwan? maana unaishi maisha ya kusindikiza. Totally clueless" nilichomjibu atajua mwenyewe.
 
Atleast jamani ujue bas dunia inaendaje!...yaan Mufuruki tu humjui..je ukiulizwa muelezee Margareth thatcher humjui...basi hata habari za EA umjue Charity Wangiru, Martha Kalua..!khaa!tena ukute men!dah mor napataga kichefuchefu kbs yaani!
Ujue hata abc za kina Byesige bas ujue!yelewiii
 
Huyo hata Borris Johnson hawezi kumfahamu.
 
Back
Top Bottom