kijana wa kazi amepata ajali na kufariki. naomba ushauri wa kisheria

Kitumburee

Member
Jan 31, 2012
97
125
wasalaam.
Niemnde moja kwa moja kwenye swali, kijana wa kazi za ndani wa dada yangu amepata ajali asubuhi hii, akiwa njiani kuelekea sokoni, aliemgonga amekimbia, wasamaria wema wakamkimbiza hospitali lakini bahati mbaya akafariki. baaa ya kuona muda unaenda bila kurudi, dada yangu akamfatilia huko sokoni ndipo akasikia habari za kijana aliegongwa, akaenda hospitali ndipo akathibitisha ni yeye.
Sasa naomba kuuliza kama kuna utaratibu wowote wa kisheria unahitajika kufuatwa.
NB: ndugu zake tuna mawasiliano nao, tunajadiliana jinsi ya kuwataarifu
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,600
2,000
Nahisi alikuwa anateseka sana mpaka akajawa na mawazo/msongo, msongo huondoa umakini mahali popote.
Wengi wanaopata ajali ni wale wenye msongo wa mawazo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom